Ni kawaida, taratibu atabadilika.
Pole sana Mshike mwanao mikononi kisha kama wewe ni mkristo chukuwa Biblia funguwa Msomee Zaburi 4 mara 1 mshike kichwa chake ukisha maliza kumsomea hiyo Zaburi 4 mpulizie usoni mwake mara moja atalala tumia kisha uje hapa unipe maendeleo yake je amelala?Jamani anashinda amelala ila ikifika saa 12 jioni halali yaani ni usiku wote ,lakini ikifika saa 12 asubuhi anasinzia vizuri tena,yaani akizinduka nikunyonya na kusinzia ila usiku kuanzia saa 3 mpaka kesho yake saa 12 asubuhi yupo alert na hataki kitanda ni mkononi tu na ana wiki 2,nikienda clinic wanasema hanatatizo la kiafya,msaada wadau hatulali usiku nami naanza kuchelewa kazini wanashangaa.
Pole sana Mshike mwanao mikononi kisha kama wewe ni mkristo chukuwa Biblia funguwa Msomee Zaburi 4 mara 1 mshike kichwa chake ukisha maliza kumsomea hiyo Zaburi 4 mpulizie usoni mwake mara moja atalala tumia kisha uje hapa unipe maendeleo yake je amelala?
Mim sipo Zanzibar je umemfanyia Dua huyo mwanao?Lagati vipi mkuu au zanzi?
Nikae macho mimi ukae wewe macho na mwanao? mimi huku nilipo ni wakati wa jioni je wewe huko kwako ni saa ngapi? mimi sipo Tanzania shauri yako.Ndiyo mkuu but kako macho tu mpaka sasa