Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Jamani anashinda amelala ila ikifika saa 12 jioni halali yaani ni usiku wote ,lakini ikifika saa 12 asubuhi anasinzia vizuri tena,yaani akizinduka nikunyonya na kusinzia ila usiku kuanzia saa 3 mpaka kesho yake saa 12 asubuhi yupo alert na hataki kitanda ni mkononi tu na ana wiki 2,nikienda clinic wanasema hanatatizo la kiafya,msaada wadau hatulali usiku nami naanza kuchelewa kazini wanashangaa.