Mwanangu hapendi kula

Madame B njoooo. Sijawahi kusikia unga qa maini.

Hivi mamito haya mnajifunzaga wapi, na lini?

Ni kujifunza tu,maini robo unayapika,unaanika mpaka yakauke funi na kitambaa unapoanika yakikauka yasage,unakuwa unaweka kijiko kidogo cha chakula kwenye chakula chake au unamlambisha ule unga kwa wiki moja inataka moyo ina radha mbaya.
 
Last edited by a moderator:

Hahaa I can imagine.

Thanks mummy.
 
Mbegu za mme wako hazina appetite za kwangu watoto anafukia mbaya na ni vitukunyema kama unahitaji nauza mbegu..ni pm kwa maelezo zaidi
 
asali sio nzuri kwa watoto chini ya mwaka

Usitishe wenzio, sisi watoto tunawalambisha asali toka wachanga kabisa. Asali ni dawa nzuri sana kwa watoto na watu wazima.

Hilo la asali kumlambisha mtoto kuwa si nzuri umelitoa wapi?
 
Usitishe wenzio, sisi watoto tunawalambisha asali toka wachanga kabisa. Asali ni dawa nzuri sana kwa watoto na watu wazima.

Hilo la asali kumlambisha mtoto kuwa si nzuri umelitoa wapi?

Ni kweli FaizaFoxy mimi mwenyewe nilikuwa nampa sana mtoto nikaja kusoma kwenye kitabu,na nilimsikia dr.akitoa maelezo nikaacha kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Usitishe wenzio, sisi watoto tunawalambisha asali toka wachanga kabisa. Asali ni dawa nzuri sana kwa watoto na watu wazima.

Hilo la asali kumlambisha mtoto kuwa si nzuri umelitoa wapi?

Wewe la asali kuwa ni nzuri kwa mtoto umelitoa wapi?
 
itnojec 15:16 16th May 2011
Although honey seems like a wholesome and
natural food to give your infant, don't do it
until after she's at least 12 months old.
Honey can contain spores of a bacterium
called Clostridium botulinum , which can
germinate in a baby's immature digestive
system and cause infant botulism, a rare but
potentially fatal illness.
These spores are usually harmless to adults
and children over 1 year old, because the
microorganisms normally found in the
intestine keep the bacteria from growing.
If your baby shows symptoms of botulism –
constipation along with muscle weakness,
trouble sucking, slack jaw, or crying and
lethargy – see a doctor immediately
 
Ni kweli FaizaFoxy mimi mwenyewe nilikuwa nampa sana mtoto nikaja kusoma kwenye kitabu,na nilimsikia dr.akitoa maelezo nikaacha kabisa.

Kumpa mtoto na kumlambisha ni vitu viwili tofauti, nisomeni vizuri.

Huyu mtoto ana matatizo ya kula na nimeandika "amlambishe" asalai dakika tano kabla hajampa chakula, sijui ni nini kisichoeleweka hapo?

Anawezaa akafata au asifate ushauri, sisi hiyo miiko ya kumlambisha mtto asali kwetu hakuna na ni remedy ambayo haitoki majumbani mwetu na hakuna mtoto aliyedhurika kwa kulambishwa asali.

Nyinyi msije kuwa ni wale ambao hata mayai hamumpi mtoto.
 
Dada FF taratibu pls..mi nimeuliza tu ili nijifunze maana sina lolote nilijualo kuhusu mada hii halafu ndo kwanza nina baby boy wa kwanza ana miezi 5 sasa so najiandaa jinsi ya kumsaidia wife hvyo uwe mpole na utuelimishe tu wala usikate tamaa
 
Usitishe wenzio, sisi watoto tunawalambisha asali toka wachanga kabisa. Asali ni dawa nzuri sana kwa watoto na watu wazima.

Hilo la asali kumlambisha mtoto kuwa si nzuri umelitoa wapi?
Either fanya research kidogo au endelea kumlambisha.Its up to you
 
Either fanya research kidogo au endelea kumlambisha.Its up to you

Nnachokiongea mimi ni kumlambisha kwa ajili anashindwa kula na hiyo ni "remedy" za asili zinazotumika enzi na enzi.
Hivi huwa hamuelewi mnachokisoma au mnajifanya mapunguani tu?

Naam, wanangu wote walipokosa "appetite" niliwalambisha asali na hata mimi mwenyewe nimeikuta hiyo remedy kutoka kwa wazee wangu. Na hadi hii leo kwangu asali haikosekani, ni kitu cha muhimu sana kwangu.
 
Tatizo ninaloliona Mimi ni tofauti ya maneno " kulamba na kula" plz FF tusaidie hapo kwanza
 
Fine.Its your choice and non of my business.But watakaojali watafuatilia kujua ukweli.
 
Fine.Its your choice and non of my business.But watakaojali watafuatilia kujua ukweli.

Indeed its my home remedy for ages and everyone is free to accept it or not.

Wi th regard to not giving honey to children under 1 year, they say in rare cases honey can cause infantile botulism, remember rare cases and its simply a theory which was never proven.

I stick with my old age remedy.
 
Hongera.I cant take chances or such kind of un calculated risks for my little angles even if is rarest cases.
 
Hongera.I cant take chances or such kind of un calculated risks for my little angles even if is rarest cases.

Naam, hiyo ni hiyari yako, sisi tuliolelewa kizamani, remedy zetu ni hizo hizo za kiasili.

Na wanangu wote walipokosa appetite niliwalambisha asali, toka walipoanza kula tu, and yes, walikuwa chini ya mwaka mmoja na wamekuwa na Alhamdullillah wako healthy mpaka leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…