Mwanangu hapendi kula

Mwanangu hapendi kula

Jambo hilo linataka umakini mkubwa.je uzito wa mtoto uko katika range inayotakiwa? Tatizo lake lina muda gani?unaweza kupata msaada zaidi kwa kujadili na mtaalamu wa afya katika clinic unayompeleka.viashiria vya hatari ni mtoto kupoteza uzito.unaweza kumchemshia chai ya maua ya babunaji-chamommile flower,unaweza kuongeza na panax ginseng kwa matokeo ya haraka.vitu hivyo unaweza kuvipata soundhealth ubungo riverside 0716 609916,0759671543 unaweza kupiga muda wowote kwa ushauri zaidi
 
Back
Top Bottom