inapatikana WaPi ndugu maana mwanangu ndo kabisaampatie dawa ya kumuongezea apetite ya kula kwa watoto kama (APETAMIN-P) syrup zinapatikana maduka ya dawa.
Mtoto wako ana miezi 7 unamlazimisha kula duh? kwanini haumnyonyeshi mpaka afike miaka 2? Umesha choka kumnyonyesha maziwa yako? unataka maziwa yako yasianguke nini?Wadau naamini jf ni mpango mzima,naombeni msaada wa kiushauri,mtoto wangu ana miezi saba sasa ila hataki kabisa kula,alipofikisha miezi sita nilimwanzishia vyakula vyepesi kama uji,mashed potatoes,mtori,in short vyakula vilaini pamoja na matunda, kadri siku zinavyoenda baby anagoma kabisaaaaa .
Though nimejaribu kumbadilishia vyakula ila hataki kabisa,yani anataka nyonyo tu, na kitu anachokula mbali na nyonyo ni matunda,hebu nipeni mauzoefu,ni vyakula gani labda vinaweza kumpa apetite au nimpe nini maana nilimpeleka hospital for check up wakasema yupo very ok.
Msaada plz
Kwa iyo mtoto hatakiwi kula chochote mpaka afikishe iyo miaka miwilk?Mtoto wako ana miezi 7 unamlazimisha kula duh? kwanini haumnyonyeshi mpaka afike miaka 2? Umesha choka kumnyonyesha maziwa yako? unataka maziwa yako yasianguke nini?
Mtoto wa miezi 6 kama hataki chakula unacho mpa usimlazimishe kula kw anguvu mpe maziwa yako bado mtoto mdogo wa kunyonya maziwa ya mama. Mtoto wa kumlazimishakual ni mtoto wam miaka 2 sio mtoto wa miezi 6 acheni ukatili wa watoto nyie wazazi.Kwa iyo mtoto hatakiwi kula chochote mpaka afikishe iyo miaka miwilk?
Mafundisho tunayopewa huku ni kwamba mtoto akishafikisha miezi sita anatakiwa aanze kula vyakula vilaini pamoja na kunyonya.Sio kwamba ukimwanzishia vyakula vingine unamwachisha ziwa no.Mtoto wa miezi 6 kama hataki chakula unacho mpa usimlazimishe kula kw anguvu mpe maziwa yako bado mtoto mdogo wa kunyonya maziwa ya mama. Mtoto wa kumlazimishakual ni mtoto wam miaka 2 sio mtoto wa miezi 6 acheni ukatili wa watoto nyie wazazi.
Haya asante sanaMafundisho tunayopewa huku ni kwamba mtoto akishafikisha miezi sita anatakiwa aanze kula vyakula vilaini pamoja na kunyonya.Sio kwamba ukimwanzishia vyakula vingine unamwachisha ziwa no.