Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Wadau naamini jf ni mpango mzima,naombeni msaada wa kiushauri,mtoto wangu ana miezi saba sasa ila hataki kabisa kula,alipofikisha miezi sita nilimwanzishia vyakula vyepesi kama uji,mashed potatoes,mtori,in short vyakula vilaini pamoja na matunda, kadri siku zinavyoenda baby anagoma kabisaaaaa .
Though nimejaribu kumbadilishia vyakula ila hataki kabisa,yani anataka nyonyo tu, na kitu anachokula mbali na nyonyo ni matunda,hebu nipeni mauzoefu,ni vyakula gani labda vinaweza kumpa apetite au nimpe nini maana nilimpeleka hospital for check up wakasema yupo very ok.
Msaada plz