Mwanangu hawezi kukaa na ana miezi mitano

Last edited by a moderator:
mi nataka nijue maxmum time ambayo mtoto anaanza kukaa.
 
Angalia usiwe umemuaribu mtoto na michepuko.atamaliza miez kumi bado ajakaa.kama ujafanya hivyo muache soon atakaa na kutambaa kwa pamoja
sina michepuko wala sijawahi kumgusa mama watoto tangu mimb iwe kubwa....kwani mwanamke akijifungua mwanaume siruhusiwi kula mambo yangu kwa wengine?
 
Watoto wengi tu huchelewa kukaa, kutambaa, kusimama, na hata kutembea. Miezi mitano si mingi ya kuanza kujipa pressure.

Mbona wangu alianza kukaa na miezi saba?? Acha wasiwasi,anza kumkalisha taratibu,atazoea
 
tena nimesahau hata kuhesabu vizuri...huyu mwanangu ana approach mwezi wa saba yaani tar 10/7/2014 atakuwa tayari na saba kamili, ila hata akikalishwa(mazoezi) hawezi kukaa
 
uwe unamkalisha mara moja moja,na hakikisha ana mahali pa kuegemea vizuri
 
usiwe na haraka, atakaa tu mara shingo yake itakapokaza.

kuna umri wa kukaa, lakini watoto hawafanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…