OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
mi mwenyeji twin but not my copy lol
Nakusoma na nafurahi siku yako ikitoka utakuwa na ufahamu tosha!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi mwenyeji twin but not my copy lol
Nakusoma na nafurahi siku yako ikitoka utakuwa na ufahamu tosha!!!!!!
Una makali lakini?????aiseeeee so now umepungua eeeh nitakugecha
Kuna watoto huwa wazito tu,na miezi mitano bado ni mdogo labda mama atuambie kwa nini ana hofu?
Una makali lakini?????
mi nataka nijue maxmum time ambayo mtoto anaanza kukaa.Kuna watoto huwa wazito tu,na miezi mitano bado ni mdogo labda mama atuambie kwa nini ana hofu?
Kama ni mtoto wa kwanza na hayuko na mzoefu Karibu akienda clinic aongee na nurse kuhusu hofu yoyote aliyonayo katika ukuaji wa mtoto,kama kuna tatizo litatambuliwa mapema na kutafutiwa ufumbuzi.
sina michepuko wala sijawahi kumgusa mama watoto tangu mimb iwe kubwa....kwani mwanamke akijifungua mwanaume siruhusiwi kula mambo yangu kwa wengine?Angalia usiwe umemuaribu mtoto na michepuko.atamaliza miez kumi bado ajakaa.kama ujafanya hivyo muache soon atakaa na kutambaa kwa pamoja
Mbona wangu alianza kukaa na miezi saba?? Acha wasiwasi,anza kumkalisha taratibu,atazoea
tena nimesahau hata kuhesabu vizuri...huyu mwanangu ana approach mwezi wa saba yaani tar 10/7/2014 atakuwa tayari na saba kamili, ila hata akikalishwa(mazoezi) hawezi kukaaUsimlazimishe kukaa akiwa tayari atakaa mwenyewe...wewe unaweza kumfanyia mazoezi ukae nae lkn atakaa mwenyewe baada ya muda..ni kawaida kwa watoto wengine kuchelewa kukaa nakumbuka iuna mtoto wa rafiki yangu kakaa akiwa na miezi 6 au 7 na akaanza kutambaa hapohapo pia....kama umeshaanza kumuonjesha vyakula vya watoto unaweza umkalishe kwenye kiti cha watoto kama hiki itamsaidia akazane haraka!
View attachment 166170
tatizo hapo kwenye kumkalisha ndo haonyeshi ustaarabu wa kuweza kukaa...Mbona wangu alianza kukaa na miezi saba?? Acha wasiwasi,anza kumkalisha taratibu,atazoea
try me at your own risk