Mwanangu huwa anasumbuliwa sana na tumbo wakati hali ya hewa inapo badilika mawingu yanapo finga huwa analia sana mpaka umchemshie mizizi ya mndula atakapo kunywa tu ile hali inapotea sijajua tatizo ni mshipa ama ni nini na dawa yake ni ipi ili hiyo hali ipotee moja kwa moja ni mtoto wa miaka 2.