Mwanangu huwa anasumbuliwa sana na tumbo wakati hali ya hewa inapo badilika mawingu yanapo funga

Mwanangu huwa anasumbuliwa sana na tumbo wakati hali ya hewa inapo badilika mawingu yanapo funga

huyo ni mnyama katoka porini kahamia kwenye mwili wake, Watoto wakiume wanaelewa hii
 
Zote mbili huwa zinaingia ndani mkuu
Nenda kituo cha Afya umuone daktari atamtazama na mtoto then atakupatia tiba au ushaur sahh huku mgonjwa kamshuhudia, Pia usiwaze sana hayo n mambo yakawahda pnd tupo watoto ktk Harakat za kuelekea Ukubwani.
 
Back
Top Bottom