Wa kiumeMwanao wa kike au wa kiume?
Anaumri gani?
Ulishajaribu kumpeleka kwa wataalamu wa afya waka ajili ya uchunguzi wa kina?
Mkuu hebu sema vizuri. Huumwa kukiwa na baridi au anaumwa Wingu likifunga
Eti Hazchem plate wingu kufunga ndio inakuwaje?ni mawingu haya haya ama kuna maana nyingine?
Hali ya hewa inapo badilika mkuu or muda mwengine humtokea tuMkuu hebu sema vizuri. Huumwa kukiwa na baridi au anaumwa Wingu likifunga
Hali ya hewa inapo badilika mkuu or muda mwengine humtokea tu
Tumbo linauna kama vile msuli wa tumbo unasimama hivi hawezi kusimana yeye straight mpaka ainame kidogo na sehemu za siri zinamuuma but sio lazima...kuna operation zinafanyika hospital I've seen themHali ya hewa inapo badilika mkuu or muda mwengine humtokea tu
Hakuna dawa ya mitishamba bila kufanyiwa operationTumbo linauna kama vile msuli wa tumbo unasimama hivi hawezi kusimana yeye straight mpaka ainame kidogo na sehemu za siri zinamuuma but sio lazima...kuna operation zinafanyika hospital I've seen them
Zipo ila sina uhakika nazo sijawahi zitumia au kumwona mtu wa karibu akizitumia ndugu yangu...polee!Hakuna dawa ya mitishamba bila kufanyiwa operation
Anamaanisha anga la blue kwa mchana na nyota usiku vikiwa havionekani kwa kuzibwa na mawingu.Eti Hazchem plate wingu kufunga ndio inakuwaje?ni mawingu haya haya ama kuna maana nyingine?
Anamaanisha anga la blue kwa mchana na nyota usiku vikiwa havionekani kwa kuzibwa na mawingu.
Hata mimi nashangaa! Bora angesema hali ya hewa inapobadilika kuwa ya baridiAnhaa okay
Ikiwa hivyo ndio mtoto anaumwa eti...duh!
Hata mimi nashangaa! Bora angesema hali ya hewa inapobadilika kuwa ya baridi