Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alikunya nurse huwa wana fanya sunction kuyatoa ndipo mtoto anapoanza ku establish upumuaji kwa mara ya kwanza tangu azaliwe.
Hivyo hiyo hali ni kawaida na inasababisha na amniotic fluids, kama mtoto ananyonya vizuri na kupumua kama kawaida ondoa shaka mtoto wako hana tatizo.
Kama alikunya nurse huwa wana fanya sunction kuyatoa ndipo mtoto anapoanza ku establish upumuaji kwa mara ya kwanza tangu azaliwe.
Hivyo hiyo hali ni kawaida na inasababisha na amniotic fluids, kama mtoto ananyonya vizuri na kupumua kama kawaida ondoa shaka mtoto wako hana tatizo.
OK mkuu thanks,but vile kanapumua kananitisha aisee,nahisi kama kanateseka sana.
Samahani kwa kuingilia hoja,japo inahusiana.
Hivi inawezekana mtoto akazaliwa na miezi kumi?
Nini sababu?
Nisaidie kama wajua!
Ndugu yangu anahisi kubambikiwa mtoto.
Umeambiwa hivyo ukiwa hapo hospitali au mkiwa mmesharuhusiwa mpo nyumbani? Kwa maana nadhani hospitali ni mahali sahihi pa kupata jibu la swali lako kuliko humu JF, so kama bado upo hapo, komaa na madaktari!Ni katika hatua za kujifungua. Mke wangu ilibidi ajifungue kwa forced labor. Baada ya kuzaliwa, mwanangu anapumua kwa kukoroma na kwikwi, nimeambiwa tatizo ni hayo maji ya uchungu aliyokunywa. Naombeni Msaada wakuu, nifanyeje?
Pole ni hali ya kawaida hasa pale mtoto anapokuwa na uzito mdogo kupita kawaida au unaweza kusema small baby.
Pia kiwango kidogo cha amniotic fluid au maji katika chupa ya uzazi ya mama kitaalamu wanaita Oligohydromnios
Zipo sababu za ki hormone pia zinazopelekea hali hiyo.
Ok,thanx
Hali hiyo inaathari gani kwa mtoto kiafya?
Hakuna athari tofauti na muda wa kawaida tuliozoea miezi 9 kupita..
Yaani anapumua kwa kukoroma na kwikwi hivi tena mfululizo.
Asante sana kwa elimu.
Mungu akubariki na aibariki kazi yako pia.
Elimu yako iendelee kuwa na manufaa kwa jamii!
Nimeelewa.
Shukrani