Mwanangu kanywa maji ya uchungu

Mwanangu kanywa maji ya uchungu

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,035
Reaction score
920
Ni katika hatua za kujifungua. Mke wangu ilibidi ajifungue kwa forced labor. Baada ya kuzaliwa, mwanangu anapumua kwa kukoroma na kwikwi, nimeambiwa tatizo ni hayo maji ya uchungu aliyokunywa. Naombeni Msaada wakuu, nifanyeje?
 
Kama alikunywa nurse huwa wana fanya sunction kuyatoa ndipo mtoto anapoanza ku establish upumuaji kwa mara ya kwanza tangu azaliwe.

Hivyo hiyo hali ni kawaida na inasababisha na amniotic fluids, kama mtoto ananyonya vizuri na kupumua kama kawaida ondoa shaka mtoto wako hana tatizo.
 
Kama alikunya nurse huwa wana fanya sunction kuyatoa ndipo mtoto anapoanza ku establish upumuaji kwa mara ya kwanza tangu azaliwe.

Samahani kwa kuingilia hoja,japo inahusiana.

Hivi inawezekana mtoto akazaliwa na miezi kumi?

Nini sababu?

Nisaidie kama wajua!
Ndugu yangu anahisi kubambikiwa mtoto.
 
OK mkuu thanks,but vile kanapumua kananitisha aisee,nahisi kama kanateseka sana.
 
Samahani kwa kuingilia hoja,japo inahusiana.

Hivi inawezekana mtoto akazaliwa na miezi kumi?

Nini sababu?

Nisaidie kama wajua!
Ndugu yangu anahisi kubambikiwa mtoto.

Pole ni hali ya kawaida hasa pale mtoto anapokuwa na uzito mdogo kupita kawaida au unaweza kusema small baby.

Pia kiwango kidogo cha amniotic fluid au maji katika chupa ya uzazi ya mama kitaalamu wanaita Oligohydromnios

Zipo sababu za ki hormone pia zinazopelekea hali hiyo.
 
Mkuu ungempeleka hospitali kwa uchunguzi zaidi!
 
Ni katika hatua za kujifungua. Mke wangu ilibidi ajifungue kwa forced labor. Baada ya kuzaliwa, mwanangu anapumua kwa kukoroma na kwikwi, nimeambiwa tatizo ni hayo maji ya uchungu aliyokunywa. Naombeni Msaada wakuu, nifanyeje?
Umeambiwa hivyo ukiwa hapo hospitali au mkiwa mmesharuhusiwa mpo nyumbani? Kwa maana nadhani hospitali ni mahali sahihi pa kupata jibu la swali lako kuliko humu JF, so kama bado upo hapo, komaa na madaktari!
 
Pole ni hali ya kawaida hasa pale mtoto anapokuwa na uzito mdogo kupita kawaida au unaweza kusema small baby.

Pia kiwango kidogo cha amniotic fluid au maji katika chupa ya uzazi ya mama kitaalamu wanaita Oligohydromnios

Zipo sababu za ki hormone pia zinazopelekea hali hiyo.

Ok,thanx

Hali hiyo inaathari gani kwa mtoto kiafya?
 
Hakuna athari tofauti na muda wa kawaida tuliozoea miezi 9 kupita..

Asante sana kwa elimu.
Mungu akubariki na aibariki kazi yako pia.
Elimu yako iendelee kuwa na manufaa kwa jamii!
Nimeelewa.

Shukrani
 
Back
Top Bottom