Mkuu tedo hebu rekebisha kiswahili hapo, unamaanisha kupenda au kupiga....?
aaah mzee why tunaanikana jamvini namna hii,siku nisipolala home jf watajua sijalala home jirekebishe ooooooh
Na ndiyo maana ma'sister hajatia maguu kwenye huu uzi , wa tangu sa4 usubui!
Sijui nae kaumwaga kule bondeni walipoenda akina Raila kuangalia mifugopori?