Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

Tumeanza kuhangaikia zamani mtoto anapokuwa unaweza kudhan pengine kachelewa tu ataongea lkn muda unazidi kwenda tu unashtuka

Katika Natural health knowledge, kuna kitu kinaitwa sensitivity nerves, ubongo utoe tafsiri na hisia zifanye Kazi ili mlipuko utokee , so inshu hapa ni mfumo wa ubongo ,
Je kuna dalili zozote za kiafya anaonesha , Kama kutokwa na mate bila kujua ,

Tutahitaji kushughulikia mfumo wa ubongo ,mishipa yake pamoja na nishati zake

Nishati za ubongo hutegemea mfumo wa Figo & Kibofu , Unapotibu mfumo wa ubongo lazima uweke sawa nishati za mfumo wa Figo ,
Kwa hiyo inshu inaweza kuwa ni blockage hivyo Circulation haiko sawa , kusababisha ubongo kushindwa fanya kazi sawa sawa !

Hebu nipigie tufanye Questionnaire diagnosis, then tutajua tumpe dawa gani

Kila tatizo la kiafya lina solution kwenye Nature !

+255757577995
 
Kwenye kuongea hapo jaribu maji ya madafu. Kuna mtu mtoto wake alifika 1.5 yrs haongei akaanza kumpa ikamsaidia.
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Fulsa hii ngoja nami niichangamkie ntakutafuta mkuu sina shaka kila kitu kitaenda sawa kwanguvu za ulimwengu.
 
Nisahihi kila tatizo lina jawabu lake kwenye
nature.
 
Po
Pole sana! Mtoto ana usonji huyo!
 
Pole sana mara nyingi huu ugonjwa hutokea kwa mtoto ni madhara ya mama kipindi anamimba anatumia pombe au sigara , kula vyakula vya ovyo /junk food kama piza na machanjo kwahiyo ujitafakali useme ukweli uweze kusaidiwa.
 
Dogo ana special needs ni Autism hiyo usimalize pesa kwa waganga ..kubali matokeo ..jifunze jinsi ya kuishi na watoto wa aina hiyo utafurahi na kumuona wa kawaida
 
Acheni ujinga aisee. Yan eti anapenda hicho kitu cha kuning’iniza nguo ya mama ake ya ndani anakuja nayo sebuleni? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu uko serious? Kwamba huyo mke hajui kutunza vitu? Kyupi mnawekaje sehemu zinapoonekana na mtoto?
Alafu wanamlaumu mtoto ana shida ya akili
 
Nadhani inawezekana ni USONJI watafute wataalam wa afya za Watoto.
Mimi wa kwangu ailichelewa kuongea ilinisumbua sana kichwani lakini sasa yuko vizuri na ameshaanza shule.
 
Acheni ujinga aisee. Yan eti anapenda hicho kitu cha kuning’iniza nguo ya mama ake ya ndani anakuja nayo sebuleni? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu uko serious? Kwamba huyo mke hajui kutunza vitu? Kyupi mnawekaje sehemu zinapoonekana na mtoto?
Kama huna cha kuchangia bora ungekaa kimya au bado haujazaa ndio maana unashindwa kupicture machungu anayopitia mtoa mada?
 
Kama huna cha kuchangia bora ungekaa kimya au bado haujazaa ndio maana unashindwa kupicture machungu anayopitia mtoa mada?
Nimezaa na ninaendelea kwa mapenzi yake Mola.

Ila concern ilikuwa why mke aweke pants hadharani mpk mtoto abebe aende nayo sebleni. Na ameandika like ts a normal thing.
 
Nimezaa na ninaendelea kwa mapenzi yake Mola.

Ila concern ilikuwa why mke aweke pants hadharani mpk mtoto abebe aende nayo sebleni. Na ameandika like ts a normal thing.
Ok understood.

Hivi vitu vinachanganya sana hasa pale unapoona mwanao anapokuwa na changamoto alafu watoto wa wenzako wako poa unaweza kufuru kwa Mungu
 
Usiende kwa waganga ,Mwamposa naye ni mganga pia , ilitakiwa urudi kwa Mwamposa ukatoe ushuhuda wa hiyo Hali ,alafu uanze na Mungu wa kweli,kama ni ugonjwa kweli unaotibika Mwanao atatibika kama tiba ipo ama mapenzi ya Mungu amuondolee hicho kikombe Mtoto ,kama ni pepo linatoka.
 
Hapo kwa waganga na maji ya mwaposya ndio ulijichanganya kabisa. Anyway naelewa mwanadamu akiwa desperate atajaribu kila njia. Katubu kwanza kwa Mungu.
 
Zile Mercury kwenye chanjo ni hatarishi sana. Zinavuruga gastrointestinal system na mfumo mzima wa fahamu.

Hata immune system lazima ivurugike na kufubaa.

Watakwambia umuone PEDIATRICIAN ili mtoto akadungwe machanjo mengine tena.
Kwan wewe haukupigwa chanjo??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Cc: DR Mambo Jambo NAMBA MOJA AJAYE NCHINI


Usonji VS MACHANJO
 
Babu yangu mzaa mama hakuwahi kudungwa machanjo lakini amefariki akiwa na umri wa miaka 106.

Cc: DR Mambo Jambo namba moja ajaye nchini Rabbon
Hizi chanjo hizi!mtoto analia Hadi roho inauma!!

Mtoto huyu ana tatizo la Neva za ubongo hasa umeme wa ubongo!!

Dawa pekee ni zile natural ndio zitamsaidia hizi ,awaone madaktari wa kichina hasa hao jamaa wanaouza dawa za asili huwa wanasaidia!

Kuna mtoto alizaliwa na tatizo la miguu yaani hasimami kwa miaka mingi aliponea kwa hao wachina!!!

Pia ajaribu pale St.clara mlali kongwa mission and seminary!Kuna hospital ya wenye matatizo ya ulemavu wa viungo,akili n .k!inahudumiwa na wazungu to wa Italy iliwahi msaidia kijana ninaemfahamu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…