towashi wa kushi
JF-Expert Member
- May 15, 2024
- 332
- 729
Mungu amsaidie bro wetu. Kimsingi hiyo ni autism, kuna mtoto wa ndugu yangu 1 yupo hivyo. Asingesema hilo suala la kutoka na chupi ya mama yake ningesema jamaa ni ndugu yangu ila mwanaye hana hiyo tabia.I feel you bro,I feel you!
Hii situation omba mtu usiipitie ukiwa kama mzazi,changamoto sana.