towashi wa kushi JF-Expert Member Joined May 15, 2024 Posts 332 Reaction score 729 May 31, 2024 #221 Saint Anno II said: I feel you bro,I feel you! Hii situation omba mtu usiipitie ukiwa kama mzazi,changamoto sana. Click to expand... Mungu amsaidie bro wetu. Kimsingi hiyo ni autism, kuna mtoto wa ndugu yangu 1 yupo hivyo. Asingesema hilo suala la kutoka na chupi ya mama yake ningesema jamaa ni ndugu yangu ila mwanaye hana hiyo tabia.
Saint Anno II said: I feel you bro,I feel you! Hii situation omba mtu usiipitie ukiwa kama mzazi,changamoto sana. Click to expand... Mungu amsaidie bro wetu. Kimsingi hiyo ni autism, kuna mtoto wa ndugu yangu 1 yupo hivyo. Asingesema hilo suala la kutoka na chupi ya mama yake ningesema jamaa ni ndugu yangu ila mwanaye hana hiyo tabia.
towashi wa kushi JF-Expert Member Joined May 15, 2024 Posts 332 Reaction score 729 May 31, 2024 #222 BICHWA KOMWE - said: Babu yangu mzaa mama hakuwahi kudungwa machanjo lakini amefariki akiwa na umri wa miaka 106. Cc: DR Mambo Jambo namba moja ajaye nchini Rabbon Click to expand... Je alikuwa na BICHWA KOMWE - kama lako?
BICHWA KOMWE - said: Babu yangu mzaa mama hakuwahi kudungwa machanjo lakini amefariki akiwa na umri wa miaka 106. Cc: DR Mambo Jambo namba moja ajaye nchini Rabbon Click to expand... Je alikuwa na BICHWA KOMWE - kama lako?
Big Nyota JF-Expert Member Joined Apr 2, 2018 Posts 378 Reaction score 575 Aug 9, 2024 #223 Kiyumbi Yuga said: A Alilia ila mama yake alipatwa uchungu muda mrefu sana Click to expand... Hiki nacho huwa ni chanzo, nina ndugu alipatwa na tatizo kama hili
Kiyumbi Yuga said: A Alilia ila mama yake alipatwa uchungu muda mrefu sana Click to expand... Hiki nacho huwa ni chanzo, nina ndugu alipatwa na tatizo kama hili
Big Nyota JF-Expert Member Joined Apr 2, 2018 Posts 378 Reaction score 575 Aug 9, 2024 #224 Triple G said: Kitendo cha kunyolewa hilo ni tatizo la kiroho 100% so usihangaike hospital wala kwa waganga. Click to expand... Hili la kunyolewa kichawi linaweza kuwa limechangia kwa kiasi flani, Mkuu Triple G anatakiwa afanye nini kma ni tatzo la kiroho???
Triple G said: Kitendo cha kunyolewa hilo ni tatizo la kiroho 100% so usihangaike hospital wala kwa waganga. Click to expand... Hili la kunyolewa kichawi linaweza kuwa limechangia kwa kiasi flani, Mkuu Triple G anatakiwa afanye nini kma ni tatzo la kiroho???