Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Hapana wala simfahamu Dr. Sebi ila nimejikuta napenda tiba za asili zaidi kuliko za kisayansi hivyo hua natumia muda mwingi kufanya Research mbali mbali na sijawahi kuangushwa na mimea hata siku moja.
 
kuongezewa damu si lazima wazipime kwanza au?
Ni kweli lazima wapime ila sio mara zote mkuu, nina ndugu yangu aliongezewaga dam mbaya akiwa mdogo.

Pole sana mkuu kwa hili, kwa kweli inasikitisha na kutisha inaonesha ni jinsi gani watoto wetu hawako salama kabisa.

Mungu akupiganie.
 
Hapana wala simfahamu Dr. Sebi ila nimejikuta napenda tiba za asili zaidi kuliko za kisayansi hivyo hua natumia muda mwingi kufanya Research mbali mbali na sijawahi kuangushwa na mimea hata siku moja.

Upo sahihi kabisa. Tiba zote zimetuzunguka, mother nature inakila kitu kwa ajili ya mwili. Madawa yote ya (pharmacy )ndio chanzo cha vifo na kuharibu mwili na kinga yake.
 
Pole sana kaka. Fanya uchunguz kuanzia mtaan anaocheza nao hadi shulen. Mpe upendo
 
Lo! Good news.. wish niwe hai those years to come
 
Dah. Pole sana Mkuu imeniwazisha sana Mana nina binti pia. Pole mkuu
 
Kingine HIV ni mdudu, je walimuona, uliza swali hili kwa hao walimpima, na sio kufanya kukisia maana mpaka sasa hakuna vipimo vya kumuonesha huyo mdudu kama ilivyo typhoid au malaria.
Nitalifanyia utafiti kwa niaba
 
Mleta mada, ongea na mwanao kwa taratibu na umwambie athari za kumficha huyo aliyemuambukiza, atakuelewa tu. Usiwe mkali kwake, mpe support kwani wewe ni mzazi wake, you mean a lot to her. Atafunguka tu.
 
Mkuu kama mzazi nimeumiaaaa sanaaa mkuuuu
 
Pole sana mkuu, ila endelea kufuatilia kimya kimya historia yake ikiwemo school bus isije ikawa karubuniwa kwenye mnyororo huo
 
Pole sana ila kumbuka maambukizi ya hiv si kifo,pili kumbuka kuna njia nyingi za kuambukizwa hiv hivyo kwa sasa swala la msingi ni kuendelea kumpa mwanao ARV hadi atakapokuwa na umri wa kuweza kumpa hali halisi ya afya yake,jopeni moyo na songeni mbele
 
Reactions: Cyb
Dah,itakua alichangia sharp object na wenzie,au aliingiliwa but kinyume,,it is very sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…