Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

Pole sana ndugu yangu.hakika huo ni mtihani mkubwa usioelezeka.Mungu akupe uvumilivu mkuu.
 
Kudos. kumbe nchi yetu bado ina watu wenye akili kubwa.

Sikutegemea kuwa ndani ya JF bado kuna watu kama wewe.
 
Reactions: Cyb
Pole sana mkuu ila nina wasi wasi kwenye majibu kama aliwai kufanya mapenzi au lah...
Watoto wa siku hizi wana ingia kwenye ngono mapema sana.....
Huyo ni wazi aliupata kwa ngono.....
Mpeleke aka anzishiwe dawa mapema japo kama alichelewa....
Nisamehewe kwa kuingiza siasa ktk jambo seriously kama hili lakini ukweli na usemwe...akili za hawa vijana/wazee wawili walio mstari wa mbele humu jamvini kuitetea CCM zinaakisi kwanini taifa limekuwa na vision mbaya sana kimaadili,I mean sasa ni rahisi sana mtu kuuwawa ila mamlaka zisichukuwe hatua!

Najaribu kuwaza kama hawa watu wawili wakapewa vitengo vya ku-deal na matatizo hasa ya vifo visivyjulikana kujua vinatokana na nini tutategemea matokeo mazuri kweli zaidi ya kuambiwa majalada yamefungwa?inashangaza mtu anasema mtoto virus kavipata kwa njia ya ngono,hujaona aliposema alishapimwa akajulikana bado yupo clear?hata kama asingesema kiubinadam inafaa nini kusema jambo hili na mtu akiwa ktk huzuni kubwa kiasi hiki?

Mwengine anajibu short cut eti "KWAKO" hivi ana maana gani huyu mtu,kichwa chake mnaweza kukielewa kweli?mtu ana mawazo na huzuni kubwa kwa matatizo yaliyomkuta wajinga kama hawa wanakoment ujinga.

What a shame!!!
 
Pole sana kaka. Kwa ss wazazi hii taarifa imetugusa naamini kama kuna MTU ana mtoto, pengine ametosha kwenda shule basi atakua ameingiwa na roho ya uoga juu ya mtoto wake kwenda shule,,, kwa jinsi inavyoonekana mwanao atakua amepata ugonjwa huu ktk mazingira ya shule ambako ana spend most of her time na kwa umri huo bado hayuko aware na njia zinaweza kupelekea athari hizo

Piga moyo konde jikaze kiume omba ushirikiano shuleni kwake zungumza na walimu wake hasa mwalimu wa darasa na jaribu kuomba kikao cha wazazi ili jambo hilo lijadiliwe vyema ikiwa ni pamoja na walimu kuongeza umakini hasa ktk watoto walio ktk umri mdogo kama huo
 
Mh! Pole sana Mkuu, kama nakuona kwa jinsi ulivyochanganyikiwa na kuona kama dunia imekuelemea.

 
big up mkuu.. your optimism natumaini itasaidia.
 
Mie nimeingiwa na simanzi na kunyong’onyea kabisa. Inatisha sana hali hii.

Nimepata mshtuko sana.
Inawezekana labda alichukua kitu chenye ncha kali alichotumia mwathirika .akatumia.
Si unajua watoto tena.
MUNGU ampe afya njema.
 
Mkuu yani wala usishangae ni maisha walio chagua kuishi ni haya kuwa wapumbavu kwenye kila jambo kama wanaweza kufurahia kifo cha akwilina kushambuliwa kwa lisu na ni watu ata awajawakosea ata kufurahia matatizo ya mtu yeyote kwao ni sawa tu
 
inauma sana ila atakuwa aliupata shulen, trust me, na yeye hajui kama aliupata shule, kama sio shule basi kwa jirani, na kama una jirani ambae hampatani anaweza kulipiza kupitia kwa mtoto wako.

kijijini kwetu kuna familiya moja mfanyakazi wa kiume wa mashambani alimbaka mtoto wa baba moja tho walithibitisha kuwa mtoto hakubaklwa alijipeleka mwenyewe.

sasa baba yake yule binti akamwambia boss wa huyo mfanyakazi wa kiume kuwa atalipiza mwanae kubakwa na mfanyakazi wake.

huyo mfanyakazi baada ya tukio alitoroka, sasa miaka ikapita kumbe kweli baba wa binti ALITAKA KULIPIZA MWENYEWE, siku ya siku, watoto wa bos wa mfanyakazi walikuwa walishakuwa kama 12yr, kibint kimoja kilikuwa kinapenda kwenda kwa bibi yaani mama yake yule baba aliyebakiwa mtoto, si akamshika yule mtoto kamuingiza chumbani, na ilikuwa inasemekana alikuwa na ukimwi, mungu ni mwema wakati analazimisha kuingiza dudu lake linagoma, kuna mtu alipita akasikia kelele, humo ndani kwa bibi, mtu huyo akagonga, ndo ikawa pona ya mtoto yule .

binadamu sio wema.
 
Ukimwanzishia ART ndio umeharakisha kifo chake...mahospitalini wagonjwa karibia 99% wenye advanced AIDS wapo kwenye ART for years wengi utakuta miaka 5 hadi 10 wakati incubation period ya HIV tunaambiwa ni 10 years ndio mtu anapata AIDS hapo bila kutumia ART lakini uchunguzi wangu binafsi Inaonyesha wagonjwa wenye so called HIV wanakufa mapema baada ya kuanzishiwa ART

My point..ARV kills people While HIV is an innocent
 
Pole sana mkuu ila nina wasi wasi kwenye majibu kama aliwai kufanya mapenzi au lah...
Watoto wa siku hizi wana ingia kwenye ngono mapema sana.....
Huyo ni wazi aliupata kwa ngono.....
Mpeleke aka anzishiwe dawa mapema japo kama alichelewa....
Kwanini uwaze njia ya maambukizi ni ngono tu, hufikiri hata saloon hizi za kiume nazo zaweza changia mtu kupata maambukizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…