binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 960
Unamlisha chakula gani?Habari zenu wadau wa afya
Mwanangu wa kiume mwenye miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa pinki huwa unabaki kwenye pampers nilimpeleka hospital daktari arecomend dawa aina ya ampiclox syrup na paracetamol nimempa lakin sion mabadiliko.
Wadau naomba msaada wenu Dr Mzizimkavu ,Gosfwin ,na wengine njoon
Niliwahi kusikia kuwa pampers sio nzuri kiafya na inaweza kusababisha UTI. Jaribu kutomvisha pampers japo kwa wiki ili uone kama kutakua na mabadiliko yoyoteHabari zenu wadau wa afya
Mwanangu wa kiume mwenye miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa pinki huwa unabaki kwenye pampers nilimpeleka hospital daktari arecomend dawa aina ya ampiclox syrup na paracetamol nimempa lakin sioni mabadiliko.
Wadau naomba msaada wenu Dr Mzizimkavu ,Gosfwin ,na wengine njoon
Niliwahi kusikia kuwa pampers sio nzuri kiafya na inaweza kusababisha UTI. Jaribu kutomvisha pampers japo kwa wiki ili uone kama kutakua na mabadiliko yoyote
Niliwahi kusikia kuwa pampers sio nzuri kiafya na inaweza kusababisha UTI. Jaribu kutomvisha pampers japo kwa wiki ili uone kama kutakua na mabadiliko yoyote
Mpe maji ya kunywa ya kutosha
Huyo mtoto lazima umpeleke kwa daktari huyo huyo mmoja? Jaribu kwingine mkuu.
Anakaa muda gani kabla ya kubadilishiwa pampers kwa siku? Na vile vile anatumia pampers za aina gani?
Lakini cha muhimu zaidi, ukiachilia mbali hizo rangi, anapata homa au kutokujisikia vizuri?
Usicheze na afya ya mtoto mkuu.
Nilimpeleka hospital mbili tofauti..pampers huwa tunamuangalia kila baada ya nusu saa akiwa amekojoa tunamtoa,aina ya pampers ni sleepy...homa alikuwa hana lakini ni kulia wakati wa kuojoa na anakojoa kidogo....ila sasa tumepata dawa nyingine baada ya kumrudisha hospital ahuheni ameipata na anakjoa vizuri ..ila pampers hatumii tena