Mwanangu wa miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa rangi ya pinki

binti wa kirombo

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2016
Posts
847
Reaction score
960
Habari zenu wadau wa afya

Mwanangu wa kiume mwenye miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa pinki huwa unabaki kwenye pampers nilimpeleka hospital daktari arecomend dawa aina ya ampiclox syrup na paracetamol nimempa lakin sioni mabadiliko.

Wadau naomba msaada wenu Dr Mzizimkavu ,Gosfwin ,na wengine njoon
 
Wewe binti wa Kirombo watu hawaji kushauri hapa hadi kwanza utoe ofa ya mbege!!
 
japo hiyo hilo dawa si chaguo la kwanza hapo, ila umempa kwa siku ngapi mpaka useme hakuna mabadiliko?
 
Habari zenu wadau wa afya

Mwanangu wa kiume mwenye miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa pinki huwa unabaki kwenye pampers nilimpeleka hospital daktari arecomend dawa aina ya ampiclox syrup na paracetamol nimempa lakin sion mabadiliko.

Wadau naomba msaada wenu Dr Mzizimkavu ,Gosfwin ,na wengine njoon
Unamlisha chakula gani?
 
Habari zenu wadau wa afya

Mwanangu wa kiume mwenye miezi minne anakojoa mkojo wa njano na uchafu wa pinki huwa unabaki kwenye pampers nilimpeleka hospital daktari arecomend dawa aina ya ampiclox syrup na paracetamol nimempa lakin sioni mabadiliko.

Wadau naomba msaada wenu Dr Mzizimkavu ,Gosfwin ,na wengine njoon
Niliwahi kusikia kuwa pampers sio nzuri kiafya na inaweza kusababisha UTI. Jaribu kutomvisha pampers japo kwa wiki ili uone kama kutakua na mabadiliko yoyote
 
Huyo mtoto lazima umpeleke kwa daktari huyo huyo mmoja? Jaribu kwingine mkuu.
Anakaa muda gani kabla ya kubadilishiwa pampers kwa siku? Na vile vile anatumia pampers za aina gani?

Lakini cha muhimu zaidi, ukiachilia mbali hizo rangi, anapata homa au kutokujisikia vizuri?

Usicheze na afya ya mtoto mkuu.
 
Asante kwa ushauri ,havai tena pampers
 
Huyo mtoto lazima umpeleke kwa daktari huyo huyo mmoja? Jaribu kwingine mkuu.
Anakaa muda gani kabla ya kubadilishiwa pampers kwa siku? Na vile vile anatumia pampers za aina gani?

Lakini cha muhimu zaidi, ukiachilia mbali hizo rangi, anapata homa au kutokujisikia vizuri?

Usicheze na afya ya mtoto mkuu.

Nilimpeleka hospital mbili tofauti..pampers huwa tunamuangalia kila baada ya nusu saa akiwa amekojoa tunamtoa,aina ya pampers ni sleepy...homa alikuwa hana lakini ni kulia wakati wa kuojoa na anakojoa kidogo....ila sasa tumepata dawa nyingine baada ya kumrudisha hospital ahuheni ameipata na anakjoa vizuri ..ila pampers hatumii tena
 
Ahsante kwa mrejesho mkuu, nimefarijika kusikia maendeleo ya mtoto yanaridhisha. Apate uponyaji upesi
 
Back
Top Bottom