Mwanangu wa Miezi mitatu anapata Choo laini cha kijani

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,287
Reaction score
486
Hallo JF Dr.

Naomba msaada kwa madoctor wataalam wa afya.

Mwanangu wa Kike Ana umri wa Miezi mitatu na siku 7, kuna baadhi ya siku huwa anapata Choo laini chenye rangi ya kijani ila sio pure green Kama Jani la mgomba.

Nnaomba Kujua nn yaweza kuwa ni tatizo. Na chanzo chake pAmoja na Tiba yake.

Hii Hali ilianza siku mbili kabla hatujamuanzishia maziwa ya Kopo ila kwa sailings zaidi ya 98% an antonyms maziwa ya Mama(Kifuani)

Naombeni ushauri wenu.
 
Dia,sina hakika kama hospitali kuna tiba yake ila dawa za kienyeji zipo.nami nina mtoti wa miezi 3 alikza na hilo tatizo ila nilutumia dawa ya kienyeji.amepona kabisa.
 
Afu iyo hali unafanya mtoto anakosa hamu ya kunyonya au chakula na kulialia.
Isipo tibiwa mda mrefu yaweza sababisha madhara.ki kwetu huo ugonjwa unaitwa BHUMENA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…