Mwanangu yupo humu JF na kijiwe chake kikuu ni hapa MMU

Mwanangu yupo humu JF na kijiwe chake kikuu ni hapa MMU

Sasa Mwanaume unafuatilia maisha ya mwanao .

Wanaume mmekuaje sikuizi
 
Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano Ulimapenzi na Unafiki.
Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia.

Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya aina hii unahitajika ufanye kitu gani ? na vizuri hajajijua kama ni yeye au wewe unaesoma.
Na yeye hana ufahamu kuwa mimi ni mwanachama tokea Jambo forums ,ondoka.
Ha haaa ulichungulia simu ya mtoto Kwa Nini?utajua hujui
 
Back
Top Bottom