Mwanangu ujuwe nakuona na yale unayoyaandika na kuyavalia jezi hapa kwenye kijiwe cha mahusiano Ulimapenzi na Unafiki.
Hivyo ni vizuri ukaachana na ukumbi huu haukufai na nakuona unavurugika akili na unayoyaandika hata mimi mzazi wako sijayafikia.
Yaani mzazi unakutana na mwanao kwenye mitaa ya aina hii unahitajika ufanye kitu gani ? na vizuri hajajijua kama ni yeye au wewe unaesoma.
Na yeye hana ufahamu kuwa mimi ni mwanachama tokea Jambo forums ,ondoka.