Mwananke Mcheza KARATE!!

Mwananke Mcheza KARATE!!

Nje ya mada Kajuni,ile posa uliyotangaza na mtu flan hivi humu MMU mliishia wapi? lete ripoti bana!
 
me nadhani ungefurahi kupata mcheza karate maana katika yale mazoezi ya usiku ushirikiano wake utakuwa 200% maana stamina anayo ya kutosha! Ila katika kuongeza kujiamini na kuwa na kuongeza common interest unaweza kuanza ku-hit gym na wewe pia....
 
Mapenzi ni ishu nyingine kama amekupenda hata ukimpiga hatakufanya kitu lakini nawe umpende simba na ukali wake wote anapenda ije kuwa huyo mcheza karate!
 
Ukioona anaanza kuleta kasheshe unamuambukiza mimba tuu, atacheza wapi hizo karate
 
nimecheka kwa kweli,sasa unaogopa nini?huyo ndio mzuri anakuwa flexible kwenye 6 kwa 6.hiyo karate yake isikutishe,mbele ya mume pengine atakuheshimu
 
mmmmmmhhh nani kakudanganya kuwa wanawake wa kiTZ ni wapole? 'kimya kina mshindo mkuu',ogopa hao unaowaita wapole,siku akikuchenchia............

teh teh teh!!! ulishawahi kupigwa kateti nini?????? jifunze judoooooooooooo
 
Nje ya mada Kajuni,ile posa uliyotangaza na mtu flan hivi humu MMU mliishia wapi? lete ripoti bana!

Bishanga tekana!!!! bado kidogo utakaribishwa.....Bintu majuta shana emyesigile!!!
 
hahaha,wana nyofoa vibaya siku hizi hao,afu anakwambia nilizidisha majani
kwenye chai

Speaker kweli bwana unaweza ona mtu kaanza kula pemba na baada ya muda kidogo anaacha ukiuliza sababu eti ni majani ya chai!!
 
Hahahahahahahahah!!!!????? mweeeee
 
Back
Top Bottom