Mwananyazala: Soka na Siasa haviwezi kutenganishwa!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hili nalo mkalitazame!

=====

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau maarufu wa soka nchini, Hussein Makubi Mwananyanza, amewashukuru kwa dhati wadau na wapenzi wa soka waliojitokeza kwa wingi kupiga kura mnamo tarehe 27 Novemba 2024, hatua iliyokipatia CCM ushindi wa asilimia 98.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Geita, Mwananyanza amebainisha kuwa soka na siasa haviwezi kutenganishwa kwa sababu vyote vinategemeana. Ameeleza kuwa ushiriki mkubwa wa wananchi katika uchaguzi huo ni ishara ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Kuhusu maswali yanayoulizwa na baadhi ya wapenzi wa soka kuhusu kujihusisha kwake na siasa, Mwananyanza amesema kuwa anachokifanya ni kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kumhamasisha kupitia jukwaa la soka. Ameongeza kuwa Rais Samia amekuwa akionesha dhamira thabiti ya kuunga mkono michezo, hususan soka, hali inayompa motisha kuendelea kutoa mchango wake kwa maendeleo ya sekta hiyo.

Hussein Makubi Mwananyanza amesisitiza kuwa jitihada za wananchi, wanachama wa CCM, na wadau wa soka ni muhimu katika kuhakikisha maendeleo ya nchi kupitia ushirikiano wa dhati kati ya siasa na michezo.
 
Haliwez kutenganishwa tanzania tu, wenzetu ualay wamefanikiwa, soka linajitegemea na kujiendesha lenyewe kwa mafanikio without interference za siasa
So anapo elezea atoe reference
 
Wakuu,

Hili nalo mkalitazame!

=====

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau maarufu wa soka nchini, Hussein Makubi Mwananyanza, amewashukuru kwa dhati wadau na wapenzi wa soka waliojitokeza kwa wingi kupiga kura mnamo tarehe 27 Novemba 2024, hatua iliyokipatia CCM ushindi wa asilimia 98.

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Geita, Mwananyanza amebainisha kuwa soka na siasa haviwezi kutenganishwa kwa sababu vyote vinategemeana. Ameeleza kuwa ushiriki mkubwa wa wananchi katika uchaguzi huo ni ishara ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Kuhusu maswali yanayoulizwa na baadhi ya wapenzi wa soka kuhusu kujihusisha kwake na siasa, Mwananyanza amesema kuwa anachokifanya ni kumsaidia Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kumhamasisha kupitia jukwaa la soka. Ameongeza kuwa Rais Samia amekuwa akionesha dhamira thabiti ya kuunga mkono michezo, hususan soka, hali inayompa motisha kuendelea kutoa mchango wake kwa maendeleo ya sekta hiyo.

Hussein Makubi Mwananyanza amesisitiza kuwa jitihada za wananchi, wanachama wa CCM, na wadau wa soka ni muhimu katika kuhakikisha maendeleo ya nchi kupitia ushirikiano wa dhati kati ya siasa na michezo.
Chawa.
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
 
Wanasiasa ni wapumbavu,pale ambapo kuna watu wengi wanaleta siasa zao hata kama haitakiwi,wamehamia kwenye soko baada ya kufanikiwa huko kwenye misikiti na makanisa
 
Back
Top Bottom