Mwanariadha aliyepeperusha bendera ya CHADEMA kwenye Marathon afika Mahakamani kufuatiilia Kesi ya Mbowe na wenzake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwenye mashindano ya mbio za Marathon nchini Denmark Mwanariadha Sune Mushendwa baada ya kumaliza mbio zile alichukua bendera ya CHADEMA na kuamua kuipeperusha uwanjani hapo huku akishangiliwa Kufa na kupona .

Leo Mwanariadha huyu ambaye ni Maarufu duniani amefika kwenye Mahakama kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi ili kujionea mwenyewe kesi ya Ugaidi ambao thamani yake ni Shilingi za kitanzania Laki sita .

 
Mungu ni mkubwa kuliko mwanadamu yeyote yule awaye.
 
Afande Mulilo hajaiona hii?

Visa yake tutaifuta😅😅
 
Sunne ni nomaaa.
Anafanya anachokiamini.
2025 achukue fomu Chuga.
 
Tuko pamoja. Tunapinga dhuluma dhidi ya utu wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…