Mwanariadha aliyepeperusha bendera ya CHADEMA kwenye Marathon afika Mahakamani kufuatiilia Kesi ya Mbowe na wenzake

Kwenye mashindano ya mbio za Marathon nchini Denmark Mwanariadha Sune Mushendwa baada ya kumaliza mbio zile alichukua bendera ya CHADEMA na kuamua kuipeperusha uwanjani hapo huku akishangiliwa Kufa na kupona .

Leo Mwanariadha huyu ambaye ni Maarufu duniani amefika kwenye Mahakama kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi ili kujionea mwenyewe kesi ya Ugaidi ambao thamani yake ni Shilingi za kitanzania Laki sita .

View attachment 2024395View attachment 2024396
Halafu ukiitokea uchaguzi ccm wanashinda kwa 98% na hakuna wa kuwafanya kitu,watu wanaishia kususa kutoitambua serikali miaka inakatika uchaguz mwingine huu,bao zinapigwa tena...CDM kuna siasa za kizamani sana,wanatushinda hadi wazambia asee.
 
Kila siku siyo Jumapili
 
Kwenye mashindano ya mbio za Marathon nchini Denmark Mwanariadha Sune Mushendwa baada ya kumaliza mbio zile alichukua bendera ya CHADEMA na kuamua kuipeperusha uwanjani hapo huku akishangiliwa Kufa na kupona .

Leo Mwanariadha huyu ambaye ni Maarufu duniani amefika kwenye Mahakama kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi ili kujionea mwenyewe kesi ya Ugaidi ambao thamani yake ni Shilingi za kitanzania Laki sita .

View attachment 2024395View attachment 2024396
Nimewaza tu🤔 hyo bendera ingekuwa ya CCM hapo ingepigwa hata petition na wanachadema kumrudisha nyuma.
 
Back
Top Bottom