Mwanariadha Felix Simbu kuendelea kuitangaza Tanzania kimataifa ndani ya New York City Marathon 2018

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
IMG_4618.JPG

Ni leo jioni kijana huyu ataibeba Tanzania kimataifa huko New York Marekani atakapo shiriki na wanariadha wengine 50,000 kutoka duniani kote watanzania tumpe sapoti kwa kumtia moyo.

Rekodi za Simbu kimataifa ni kuwa ameshika nafasi ya 5 katika michezo ya Olympko Rio Olympic 2017,ameshika nafasi ya 3 IAAF Championships London 2017 na sasa yupo New York City Marathon 2018.
 
Nimejaribu kufuatilia matokeo ya hii marathon ila nikashindwa kuona jina la mtanzania mwenzetu simbu kati ya top 100.ila nilivyokua nafuatilia mbio hizi live aliobekana mwanzoni mpaka kama kilomita ya 25 hivi hapo hatukumuona tena. Je, ameshindwa kua hata kati ya watu 100 bora?????? Siamini hilo, labda jina lake limesahaulika...
Link ya matokeo ni hii Overall Men

Nimeumia sana kutokumuona simbu top 10. Pia nilitamani mkenya geofrey kamworor atetee taji lake lakini bahati mbaya wahabeshi desise na mwenzake wameshika nafasii ya kwanza na ya pili huku kamwororo akiwa wa tatu.

All in all napenda sana riadha maana ndo mchezo pekee waafrica tunawashinda wazungu..

Baba lao kipchoge angekuwepo ingekua safi sanna.
 
Aisee upo kama Mimi, Leo siku nzima nawaza haya mashindano kwasababu ya simbu, bahati mbaya amepotezwa vibaya sana. Mie niliangalia top 20 nikaachia hapo nilipomkosa.
Kuna dogo wa miaka 21 anaitwa Augustino Sulle naye anakuja kwa kasi, ngoja tuone atatufikisha wapi, week 2 zilizopita alikuwa wa pili kwenye Toronto marathon, nyuma ya Benson Kipruto wa Kenya.
 
Aisee bado sitaki kuamini simbu hayupo hata top 100. Lazma kuna jambo. Lazma jina lake limesahaulika. Au labda alipata matatizo ndani ya mbio. Ila simbu sio mtu wa kushindwa kumaliza marathon kwa zaidi ya 2 hrs 15 mins.
Agustino yupo vizuri saanna yule dogo . Tumuombee Mungu aendeleze kipaji chake in the next years aje atutoe kimaso maso watanzania kwenye hizi mbio kubwa kubwa.p
 
Ametoa taarifa kuwa hakufanikiwa kumaliza mbio hizo
 
Taarifa kutoka page yake ya Facebook "Habari Tanzania. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana Watanzani wote na wasio Watanzani kwa maombi yao juu ya mashindano ya New York city marathon ingawa mimi nimeshindwa kufanya vizuri na pia nimeshindwa kumaliza kabisa.
Naomba niwatie moyo tusikate tamaa kwani bado kuna mashindano mengi mbele tuendee kumwomba mungu ili atusaidie wachezaji wa Kitanzania tuendee kuiwakilisha nchi yetu vyema katika mashindano mbali mbali yajayo.
Tukumbuke kuwa kila jambo linachangamoto zake.
Na napenda kuwaambia sio kila mara itakuwa wewe kuna wakati wa kupanda na wa kushuka pia . Kwenye mafanikio tufurahi na kwenye shida tushikamane.
Nawashukuru sana na Mungu awabariki. Amen."
 
Nimejaribu kufuatilia matokeo ya hii marathon ila nikashindwa kuona jina la mtanzania mwenzetu simbu kati ya top 100.ila nilivyokua nafuatilia mbio hizi live aliobekana mwanzoni mpaka kama kilomita ya 25 hivi hapo hatukumuona tena. Je, ameshindwa kua hata kati ya watu 100 bora?????? Siamini hilo, labda jina lake limesahaulika...
Link ya matokeo ni hii Overall Men

Nimeumia sana kutokumuona simbu top 10. Pia nilitamani mkenya geofrey kamworor atetee taji lake lakini bahati mbaya wahabeshi desise na mwenzake wameshika nafasii ya kwanza na ya pili huku kamwororo akiwa wa tatu.

All in all napenda sana riadha maana ndo mchezo pekee waafrica tunawashinda wazungu..

Baba lao kipchoge angekuwepo ingekua safi sanna.
Nkiskia marathon jina linalonijia kichwani ni kipchoge tuu. Jamaa ni monster kwenye hizi mambo. Rekodi yake aliyoweka berlin sioni kama itavunjwa anytime soon
 
Nimejaribu kufuatilia matokeo ya hii marathon ila nikashindwa kuona jina la mtanzania mwenzetu simbu kati ya top 100.ila nilivyokua nafuatilia mbio hizi live aliobekana mwanzoni mpaka kama kilomita ya 25 hivi hapo hatukumuona tena. Je, ameshindwa kua hata kati ya watu 100 bora?????? Siamini hilo, labda jina lake limesahaulika...
Link ya matokeo ni hii Overall Men

Nimeumia sana kutokumuona simbu top 10. Pia nilitamani mkenya geofrey kamworor atetee taji lake lakini bahati mbaya wahabeshi desise na mwenzake wameshika nafasii ya kwanza na ya pili huku kamwororo akiwa wa tatu.

All in all napenda sana riadha maana ndo mchezo pekee waafrica tunawashinda wazungu..

Baba lao kipchoge angekuwepo ingekua safi sanna.
Nasikia ametoa taarifa na kuomba radhi kwa kushindwa kumalizia ....changamoto
 
Aisee bado sitaki kuamini simbu hayupo hata top 100. Lazma kuna jambo. Lazma jina lake limesahaulika. Au labda alipata matatizo ndani ya mbio. Ila simbu sio mtu wa kushindwa kumaliza marathon kwa zaidi ya 2 hrs 15 mins.
Agustino yupo vizuri saanna yule dogo . Tumuombee Mungu aendeleze kipaji chake in the next years aje atutoe kimaso maso watanzania kwenye hizi mbio kubwa kubwa.p
Ajashiriki nasikia alikuwa na maumivu
 
Gidabudai katibu wa RT amesema hawezi kufanya lolote kwani maandalizi yake yalikuwa hafifu
 
Jamaa alikuwa kuwa jeshini labda alienda kozi zao za kijeshi akashindwa kufanya maandalizi ya maana.
 
Taarifa kutoka page yake ya Facebook "Habari Tanzania. Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru sana Watanzani wote na wasio Watanzani kwa maombi yao juu ya mashindano ya New York city marathon ingawa mimi nimeshindwa kufanya vizuri na pia nimeshindwa kumaliza kabisa.
Naomba niwatie moyo tusikate tamaa kwani bado kuna mashindano mengi mbele tuendee kumwomba mungu ili atusaidie wachezaji wa Kitanzania tuendee kuiwakilisha nchi yetu vyema katika mashindano mbali mbali yajayo.
Tukumbuke kuwa kila jambo linachangamoto zake.
Na napenda kuwaambia sio kila mara itakuwa wewe kuna wakati wa kupanda na wa kushuka pia . Kwenye mafanikio tufurahi na kwenye shida tushikamane.
Nawashukuru sana na Mungu awabariki. Amen."
Wabongo huwa atufiki mbali kwa mambo ya kujitia tunaamini mungu sana kuliko maandalizi..! Akina Mo farah kila siku wahangaika kule Eldoret kenya wakifanya mazoezi. Siye kazi ni kupiga makelele mitandaoni. Support zetu zimeishia insta na jf pekee! Tumekalia Mungu atusaidie wakat sisi wenyewe tumeshindwa kujisaidia.
 
Jamaa alikuwa kuwa jeshini labda alienda kozi zao za kijeshi akashindwa kufanya maandalizi ya maana.
Kipaji huwa hakiitaji maandalizi makubwa sana, hata makocha wa mipira ya miguu hujichukulia maujiko kuwa wanajua kufundisha kumbe ni vipaji binafsi vya wachezaji alivyokuwa navyo. Embu fikiria ronaldo ama mess utamfundisha nini sasa hivi. Nadhani dogo kipaji kiliibuka gafla na kimepotea ndio maana kastuka kukimbilia ajira
 
Wabongo huwa atufiki mbali kwa mambo ya kujitia tunaamini mungu sana kuliko maandalizi..! Akina Mo farah kila siku wahangaika kule Eldoret kenya wakifanya mazoezi. Siye kazi ni kupiga makelele mitandaoni. Support zetu zimeishia insta na jf pekee! Tumekalia Mungu atusaidie wakat sisi wenyewe tumeshindwa kujisaidia.
Point of correction.. mo farah ni muingereza mkuu. Sio mkenya. Kenya ni kwa kina eliud kipchoge, geofrey kamworor, wilson kipsang na wengineo.
 
Nalifahamu fika hilo..! Na hata ukiangalia hapo sijasema kama Mo farah ni raia wa kenya. Nachosema mie ni kwamba Mo ametoka uingereza kaja kenya kufanya mazoezi iweje sie tushindwe kumpeleka simbu hapo nayeye akakutane na wataalam mbio hizo?!
 
View attachment 920570

Ni leo jioni kijana huyu ataibeba Tanzania kimataifa huko New York Marekani atakapo shiriki na wanariadha wengine 50,000 kutoka duniani kote watanzania tumpe sapoti kwa kumtia moyo.

Rekodi za Simbu kimataifa ni kuwa ameshika nafasi ya 5 katika michezo ya Olympko Rio Olympic 2017,ameshika nafasi ya 3 IAAF Championships London 2017 na sasa yupo New York City Marathon 2018.
Pole kwake, alishindwa kumaliza mbio
 
Back
Top Bottom