Mwanariadha kutoka Kenya, Conseslus Kipruto ashinda mbio za Mita 3000 kwa kiatu kimoja

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
gfds.PNG

Mkimbiaji kutoka Kenya Conseslus Kipruto ashinda mbio za Mita 3000 kwa kiatu kimoja. Kipruto alivukwa na kiatu ikiwa ni baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa mbio hizo lakini hakukata tamaa na kuendelea kushindana

> Katika mzunguko wa mwisho, Kipruto alimshinda mkimbiaji kutoka Morocco, Soufiane El Bakkali aliyekuwa akichuana naye vikali kuelekea mwisho wa mbio

> Wakati wa kuhojiwa alikiri kupata majeraha na maumivu baada ya kupoteza kiatu chake cha mguu wa kushoto

> Hata hivyo kupoteza kiatu chake kumlitia nguvu za kuendelea na mashindano. Mshindi wa mbio hizo hujinyakulia kitita cha Shilingi za Kitanzania Milioni 114,345,000/=

=======

Kenyan runner Conseslus Kipruto lost one of his shoes just after the first lap of his 3000m steeplechase Diamond League race on Thursday night but still went on to win.

The Olympic and World Champion beat Morocco’s Soufiane El Bakkali in a sprint finish.

Capture.PNG

TV pictures after the race show the Kenyan limping as he waved to the crowd in Zurich, Switzerland.
"I have big pain. I am injured because I lost my left shoe. That was a mess, but it motivated me to fight as hard as I could, so the race went well,” the Standard newspaper quotes Kipruto as saying after the race.

Other top African performances at the Diamond League finals included victories for South Africa's Cater Semenya in the 800m, Ivory Coast's Murielle Ahoure in the 100m and Kenya's Helen Obiri in the 5000m.

All winners received a $50,000 (£38,000) prize.

Source: BBC News
 
Hivi yule mkimbiaji wetu Tanzania yuko wapi maana toka olympic haonekani
 
Nadhani huyu mwanariadha amepata kitu kikubwa zaidi ya hata kushinda mbio hizo kwa vile hili tukio litaingia katika vitabu vya kumbukumbu na hata atakapo staafu kukimbia anaweza kuendelea kutumika kama reference ya sportmanship. [ QUOTE="Kurzweil, post: 28178975, member: 44658"]

Mkimbiaji kutoka Kenya Conseslus Kipruto ashinda mbio za Mita 3000 kwa kiatu kimoja. Kipruto alivukwa na kiatu ikiwa ni baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa mbio hizo lakini hakukata tamaa na kuendelea kushindana

> Katika mzunguko wa mwisho, Kipruto alimshinda mkimbiaji kutoka Morocco, Soufiane El Bakkali aliyekuwa akichuana naye vikali kuelekea mwisho wa mbio

> Wakati wa kuhojiwa alikiri kupata majeraha na maumivu baada ya kupoteza kiatu chake cha mguu wa kushoto

> Hata hivyo kupoteza kiatu chake kumlitia nguvu za kuendelea na mashindano. Mshindi wa mbio hizo hujinyakulia kitita cha Shilingi za Kitanzania Milioni 114,345,000/=

=======

Kenyan runner Conseslus Kipruto lost one of his shoes just after the first lap of his 3000m steeplechase Diamond League race on Thursday night but still went on to win.

The Olympic and World Champion beat Morocco’s Soufiane El Bakkali in a sprint finish.

TV pictures after the race show the Kenyan limping as he waved to the crowd in Zurich, Switzerland.
"I have big pain. I am injured because I lost my left shoe. That was a mess, but it motivated me to fight as hard as I could, so the race went well,” the Standard newspaper quotes Kipruto as saying after the race.

Other top African performances at the Diamond League finals included victories for South Africa's Cater Semenya in the 800m, Ivory Coast's Murielle Ahoure in the 100m and Kenya's Helen Obiri in the 5000m.

All winners received a $50,000 (£38,000) prize.

Source: BBC News[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom