Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU š„ kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024.
Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu alikuwa kwenye mbio za majeshi abuja, Nigeria na kushinda pia medali ya dhahabu.