Mwanariadha Magdalena Shauri Ashinda medali ya Dhahabu Shenzhen Marathon, China

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414

Mwanariadha wa kimaraifa Magdalena Crispin Shauri ameshinda medali ya DHAHABU 🥇 kwenye mbio za Shenzhen Marathon 2024 kwa muda wa saa mbili, dakika ishirini na tisa na sekunde thelathini (2:29:30) huko China leo 01/12/2024.

Magdalena ni mwanariadha kutoka jeshi la JWTZ na ni wiki moja tu alikuwa kwenye mbio za majeshi abuja, Nigeria na kushinda pia medali ya dhahabu.
 
Ametisha sana, ndani ya wiki moja kafanya vitu mara mbili.

Hongera zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…