Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mashindano hayo yamefanyika leo 1/12/2024 Valencia,Spain.
Washindi
Mshindi wa Kwanza 2:02:05 mkenya
Mshindi wa pili 2:02:38 ethiopia
Mshindi wa tatu 2:04:24 mkenya
Mshindi wa nne 2:0438 Mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Please Please kaaa kimya wewe unaonekana hujui Kikimbia! Hata Ukiwmbiwa Hebu Kimbia Kariakoo hadi Hadi Ubungo na Kurudi huwezi! Wenzio wanakimbia kutoka Magomeni hadi kibaha kwenda na Kurudi kwa Kasi!Hamna pongezi hapo Mkuu, huyo kijana alitakiwa kushika namba moja, hiyo namba nne haina maana yoyote kwa mazoezi nilikuwa nikiona wakifanya nikiwa student pale skuli ya vipaji maalum!! Kazi kupanda juu Mlimani na kushuka chini kutwa nzima.
Simbu ana uwezo wa kurun sub 2:04 kwenye fast course yà Berlin au Valencia next year.Please Please kaaa kimya wewe unaonekana hujui Kikimbia! Hata Ukiwmbiwa Hebu Kimbia Kariakoo hadi Hadi Ubungo na Kurudi huwezi! Wenzio wanakimbia kutoka Magomeni hadi kibaha kwenda na Kurudi kwa Kasi!
Wewe hata Mwenge hadi Mlimani city huwezi!
Hebu kaaa kimya Tena!
Haya Mambo tuachie sisi!
Unaudhi sanaa!
Hujui ni Nchi ngapi na Wanariadha gani walikuwepo huko!
1.Aliekuwa anashikilia Course record ya Valencia Sisay Lema mwenyewe amekuwa wa 10 huko!
Kapata Muda wa 2:04:59
Kawapita Manguli wengi sanaa,Unajua Mbio hiyo ilikuwa na Manguli Duniani wakenye na Ethiopia ambao hata Yeye alikuwa hana record za Kuwafikia hao???
Ila Leo kawapita!
Unajua wakenya Wa Train kwenye Altitude ya 2,300m above see level almost kila wiki??
Wana Special diet,(Diet sio kutokula inawezekana pia nalo huelewi)
Wana Special doctor wa Mazoezi!
Wana mji maalum kwa mazoezi Duniani na Watu mbali mbali wanakwenda huko!
Warthiopia pia ni Wababe kwa Mbio hatuwafikii nao walikuwepo!
Angalia kwanza Takwimu zao ndio uanze kukebehi au kutoa maneno uliosema hapa! Nimeweka Attachment ya World record waliomzidi Simbu kabla ya leo na Record za Leo uone tofauti alichokifanya Simbu Leo ni kikubwa sanaa anastahili Pongezi Mnooo🔥🔥💪👏 Hiyrlin o attachment aliokuwa wa 4,Aliotumia 2:04ndio ya Leo,
Simbu ana uwezo wa kurun sub 2:04 kwenye fast course yà Berlin au Valencia next year.
Wamekimbia kilometa ngapi?View attachment 3166511Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi 4 kwa muda wa saa mbili , dakika 4 na sekunde thelathini na nane ( 2:04:38 PB) na kuweka muda bora zaidi ya uliopita wa (2:05:39 huko China) kwenye mbio za Valencia Marathon 2024 huko Valencia, Uhispania.
Mashindano hayo yamefanyika leo 1/12/2024 Valencia,Spain.
Washindi
Mshindi wa Kwanza 2:02:05 mkenya
Mshindi wa pili 2:02:38 ethiopia
Mshindi wa tatu 2:04:24 mkenya
Mshindi wa nne 2:0438 Mtanzania
Mkuu Mambo ni mengi shoes, nutritions, training programs bila kusahau dopingIla vijana siku hizi wako kasi mno. Mwaka 2003 world record ilikuwa inasoma 2:04:55 ya Paul Tergat. Ina maana muda wa Simbu tayari umeipita hiyo rekodi. Vijana hawana utani.
Sema doping inapigwa kitaalamu sana bila kushtukiwa. Sidhani kama mwanariadha mkubwa hatumii hizo mambo.Mkuu Mambo ni mengi shoes, nutritions, training programs bila kusahau doping
Euro 18000Malipo yake yapoje wakuu
AbsolutelySema doping inapigwa kitaalamu sana bila kushtukiwa. Sidhani kama mwanariadha mkubwa hatumii hizo mambo.
Sijajua.Absolutely
Who is the dirtiest marathoner (most doped)?
Wadau wanasema kipchogeSijajua.
Itakuwa kwa sababu karibu wanariadha wote wanaofanya vizuri kuna tuvituvitu wanatumia hasa nyakati za mazoezi. Hata hawa wa hapa TZ sio hivihivi... mambo ni mengi sana. Kudumu kwenye kiwango kwa zaidi ya miaka 5 sio mchezo.Wadau wanasema kipchoge