Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha

Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
1659205219221.png

Mwanariadha wa Mbio Ndefu Marathon (42KM) Alphonce Felix Simbu Amenyakua Medali ya Fedha ,kwa kukimbia muda (2:12:29) nyuma ya Mganda Victor Kiplagat (2:10:55) na Mkenya wa Tatu Kwa Muda (2:13:16), kwenye Mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika Jijini Birmingham, Uingereza Leo Tarehe 30 Julai 2022.

Kwa upande wa Wanawake, Failuna Matanga amemaliza 6 Kwa Muda (2:33:29) Kwa Marathon, huku Hamisi Athumani Misai Ameshika Nafasi ya 8 Kwa wanaume Marathon Muda (2:15:59) ambapo ni Muda wake Mzuri (Personal Best) , huku Jackline Sakilu akimaliza Kwa Shida Sana baada ya kuumia mguu .
 
Simbu.jpeg


Mwanariadha Mtanzania Alphonce Felix Simbu akiwa na furaha kwa kutwaa medali ya Fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili mbio za marathon katika Michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham, Uingereza, nyuma ya Victor Kiplagat wa Uganda.

Kulia ni mkimbiaji Hamisi Misai ambaye alimaliza ndani ya 10 bora ya mashindano kwa kushika nafasi ya nane.

---------------------


Nearly gold, as Simbu finishes second behind Uganda

Victor Kiplangat produced an impressive performance to give Uganda their first-ever Commonwealth Games marathon gold in Birmingham on Saturday.

The 22-year-old timed 2hr 10min 55sec, coming home with a broad grin on his face more than a minute and a half clear of Tanzania's 2017 world bronze medallist Alphonce Felix Simbu.

The race saw Tanzania’s Alfred Simbu and Kenya’s Michael Githae come second and third respectively as East Africa completed a medal sweep.

It’s the best placement for Uganda at this stage after Solomon Mutai clinched Silver at the 2018 games in Gold Coast.

Stephen Kiprotich won 2012 London Olympics and 2013 World Championships titles but no Ugandan had ever won a gold medal marathon at Commonwealth Games before Saturday.

It’s the first medal for Uganda at the ongoing games, and medal number 56 overall (17th gold) at the games competed for by former British colonies.

Kiplangat will be turning 23 in November and he will surely believe that this is the start of many achievements to come.

He won the World Mountain Running Championships (2017) but that cannot compare to his Marathon title in Birmingham.

He kept himself inside the leading pack as Australia’s Liam Adams dictated pace.

But as the pack approached 25km, Kiplangat fancied his tank and started to run bold.

He broke away from Tanzania’s Alfred Simbu just after 31km and he passed 35km in a time of 1:47:09.

And he powered home in a time of 2 hours, 10 minutes and 55 seconds on his championship marathon debut.

He this year in April won Hamburg Marathon in a time of 2:05:0
 
Back
Top Bottom