figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hapana ni juhudi za ccm na serikali yake ya awamu ya 5 chini ya Mh MagufuliNa itakua juhudi zake binafsi
Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.
Kwa Matokeo haya-amefuzu kucheza Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika Doha Mwaka huu 2019 na Mashindano ya Olympic Mwaka 2020-Tokyo (Amejishindia pia Zawadi ya Dola elfu 10 pamoja na Appearance Dola 5000 sawa na wastani wa Jumla ya Tsh.Milion 33 za Kitanzania)
Hongera Sana “Anthony Mtaka ,Rais wa Chama cha Liadha
View attachment 1084277
Zikisaidiwa na Antony Mtaka rais wa chama cha riadha. Chini ya rais kipenzi, mzalendo namba 1, mchapa kazi ,rais wa awamu ya 5 na rais wa wanyonge. Makofi tafadhaliNa itakua juhudi zake binafsi
Huo ndio ukweli niliona hizo riadha wengine walikua na Watu wanawapa support coaches na Watu kibaoNa itakua juhudi zake binafsi
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Zikisaidiwa na Antony Mtaka rais wa chama cha riadha. Chini ya rais kipenzi, mzalendo namba 1, mchapa kazi ,rais wa awamu ya 5 na rais wa wanyonge. Makofi tafadhali
Badala ya kumpongeza aliyevuja jasho wewe unag'ang'ana na wanasiasa.Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.
Kwa Matokeo haya-amefuzu kucheza Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika Doha Mwaka huu 2019 na Mashindano ya Olympic Mwaka 2020-Tokyo (Amejishindia pia Zawadi ya Dola elfu 10 pamoja na Appearance Dola 5000 sawa na wastani wa Jumla ya Tsh.Milion 33 za Kitanzania)
Hongera Sana “Anthony Mtaka ,Rais wa Chama cha Liadha
View attachment 1084277
Si ndo viongozi wetu wanavyofanya asahiv...Siyo kwamba Jamaa hajui anajua ila kafikisha ujumbe hapo Mimi nimemuelewaBadala ya kumpongeza aliyevuja jasho wewe unag'ang'ana na wanasiasa.
Hii ndiyo Tz
Papuchi yake na utam umeisha
Pia hongera kwa William Kallaghe makamu wa rais wa chama cha riadha.Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.