Mwanariadha wa Tanzania Failuna Matanga amekuwa wa 3 Hamberg Marathon (Ujerumani)

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.

Kwa Matokeo haya-amefuzu kucheza Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika Doha Mwaka huu 2019 na Mashindano ya Olympic Mwaka 2020-Tokyo (Amejishindia pia Zawadi ya Dola elfu 10 pamoja na Appearance Dola 5000 sawa na wastani wa Jumla ya Tsh.Milion 33 za Kitanzania)

Hongera Sana “Anthony Mtaka ,Rais wa Chama cha Liadha
3daa430386c6882feb9679130ac2ce6b.jpg
 
Tuishukuru serikali na zaidi mh.raisi kwa kumwezesha shujaa wetu kushika nafasi ya 3
 
Gooood........ "no haman is limited"
Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.

Kwa Matokeo haya-amefuzu kucheza Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika Doha Mwaka huu 2019 na Mashindano ya Olympic Mwaka 2020-Tokyo (Amejishindia pia Zawadi ya Dola elfu 10 pamoja na Appearance Dola 5000 sawa na wastani wa Jumla ya Tsh.Milion 33 za Kitanzania)

Hongera Sana “Anthony Mtaka ,Rais wa Chama cha Liadha
View attachment 1084277
 
Na itakua juhudi zake binafsi
Zikisaidiwa na Antony Mtaka rais wa chama cha riadha. Chini ya rais kipenzi, mzalendo namba 1, mchapa kazi ,rais wa awamu ya 5 na rais wa wanyonge. Makofi tafadhali
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.

Kwa Matokeo haya-amefuzu kucheza Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika Doha Mwaka huu 2019 na Mashindano ya Olympic Mwaka 2020-Tokyo (Amejishindia pia Zawadi ya Dola elfu 10 pamoja na Appearance Dola 5000 sawa na wastani wa Jumla ya Tsh.Milion 33 za Kitanzania)

Hongera Sana “Anthony Mtaka ,Rais wa Chama cha Liadha
View attachment 1084277
Badala ya kumpongeza aliyevuja jasho wewe unag'ang'ana na wanasiasa.
Hii ndiyo Tz
 
Hongera;

I believe in these kind of sports.

Huwa tunafanya vyema.

Nikipata nafasi I will defenetly invest in these kind of sports.
 
Watu kama hawa ndio "Wazalendo wa kweli " na mashujaa wa Taifa.
Hongera mdada na Mungu azidi kukupigania na kukubariki zaidi.
 
Hongera Mwanariadha wetu wa Tanzania Failuna Matanga kwa kushika nafasi ya 3 Hamberg Marathon (Ujerumani) ukitumia mda wa 2:27:55.

Kwa Matokeo haya-amefuzu kucheza Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika Doha Mwaka huu 2019 na Mashindano ya Olympic Mwaka 2020-Tokyo (Amejishindia pia Zawadi ya Dola elfu 10 pamoja na Appearance Dola 5000 sawa na wastani wa Jumla ya Tsh.Milion 33 za Kitanzania)

Hongera Sana “Anthony Mtaka ,Rais wa Chama cha Liadha
View attachment 1084277
Pia hongera kwa William Kallaghe makamu wa rais wa chama cha riadha.

Hongera Failuna
(msianze kupiga mahesabu ya hela alizopata)
 
Back
Top Bottom