Mwanariadha wa Ujerumani ahukumiwa kifungo miezi 6 kwa SMS za vitisho kwa Wanawake waliowatongoza wakamkataa

Mwanariadha wa Ujerumani ahukumiwa kifungo miezi 6 kwa SMS za vitisho kwa Wanawake waliowatongoza wakamkataa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
weiss-pix.jpg

Mwanariadha wa Ujerumani amehukumiwa kifungo cha Jela miezi sita au kulipa faini ya Ksh. 70,000 (Tsh. Milioni 1.3) kutokana na kosa la vitisho na udhalilishaji wa mtandaoni Nchini Kenya.

Weiss Marvin Valentin, 25, alitenda kosa hilo mwaka 2022 kwa kutoa matamshi ya kukera na kutishia kusambaza picha za kuwadhalilisha za Regina Nguria na Julian Alonso, ambapo aliwataka kimapenzi wakamkataa.

Valentin aliyekutwa na makosa manne tofauti Mahakamani alikiri makosa yote ndipo akapewa adhabu hiyo, pia akatakiwa kuondoka nchini humo ndani ya saa 72 baada ya kulipa faini au baada ya kutoka jela ama atashindwa kulipa

Source: Citizen Digital

================

German Athlete Jailed Over Cyber Harassment, Threatening Woman In Iten. A German athlete faces six months in prison if he does not pay a fine of Sh70,000 for cyber harassment, a court has ruled in Iten, Elgeyo Marakwet County.

The court heard that the 25-year-old Weiss Marvin Valentin, committed the offence on 2022 by wilfully making derogatory remarks on the photos of Regina Nguria and Julian Alonso.

A comment that indicated to cause anxiety to the complainants that something bad could happen to them. Valentin was charged with four counts of sending disturbing messages to the athletes whom he wanted to be romantically involved with but his advances were rejected.

He also faced another count of spreading malicious information Contrary to Section 112A (1) of the penal code. Appearing before Iten Senior Resident Magistrate Caroline Ateya, the athlete pleaded guilty to the four counts.

The court ordered him to pay Tsh. 70,000 or spend six months in prison. The court further ordered that the athlete leave the country within 72 hours after paying the fine or after completing the prison term or risk being deported.
 
Papuchi inatutesa sana sisi wanaume, sijui iliumbwaje hiyo kitu maana hakuna mwanaume jeuri dhidi yake, imewaangusha mibabe hata kwenye vitabu vya dini enzi zile, hata marais wa mataifa makubwa kama vile Marekani kunao iliwavuruga bila kuwaacha salama.
 
Papuchi inatutesa sana sisi wanaume, sijui iliumbwaje hiyo kitu maana hakuna mwanaume jeuri dhidi yake, imewaangusha mibabe hata kwenye vitabu vya dini enzi zile, hata marais wa mataifa makubwa kama vile Marekani kunao iliwavuruga bila kuwaacha salama.
Jombaa, hiyo kitu hamna haja ya kuitunishia misuli wala sijui kukausha. Ukishakubali kwamba ndio inakuongoza, maisha baada ya hapo huwa yanakuwa simpo sana. Wakikutupa selo sawa tu, wakitaka kukuua sawa tu.
Nina uhakika kwamba anachowaza huyo jemba hapo ni atatoka saa ngapi kizimbani. Alipe faini chap chap akatafute papuchi ya kutolea stress. 😆 HAIL PU$$Y!!!
 
Sasa kama aliwatongoza wakakataa alipata wapi picha zao za kudhalilisha? Huyu jamaa alikula mzigo tayari na akawafytua picha za papuchi!
 
Back
Top Bottom