Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Mwanasheria Albert Msando amvaa Lulu kisa Mali za Majizzo

Itarud Kwa Mama yupi we kilaza , unajua sarakasi za Mali lakini wewe , muulize mrema wa Arusha Billionaire wa mahotel watoto wanavyoburuzana mahakamani na wanapishana kurogana Kwa waganga au muulize Kylin wa mengi , ndo mana Msando amewafungua ili kumuweka kwenye safe zone huyo Lulu .... Hata kama akizaa Kwa Mali zilizopo mtoto atagawiwa kama watoto wengine ,Jambo sahihi ni kutozifikria hzo Mali apambane zipatikane za kwnye ndoa madam bado Majizo ana nguvu ..... Huwa mna vichwa vigumu Sana ndo mana mambo yakiharbika mnakimbilia kwenye media na mashirika ya haki za wanawake na still inakuwa too late....na bado hujui hzo Mali kaandikiwa Nani pengine tayar jamaa ashaziandikia mmiliki Kisheria ..we unakazana kukata mauno kitandani
Kilaza wa kwanza wewe!
Pili tafuta mali ndugu acha kuzipangia mali za mwanaume mwenzio ampe nani na asimpe nani!
 
Kilaza wa kwanza wewe!
Pili tafuta mali ndugu acha kuzipangia mali za mwanaume mwenzio ampe nani na asimpe nani!
Kilichokufanya udandie comment yangu ni nini kama sio kiherehere .....utapigwa mtungo wewe Kwa tamaa zako...endelea na kisaluni chako uchwara
 
Mshaurini apunguze Instagram. Ndio maana binafsi namkubali sana Jenipher Kyaka.

Hiyo Lulu imetokea tu Nadhani kama bahati ( maana huyo Majizzo mhuni tu ), so, apunguze mbwembwe kama vile anasuta watu.
Akimaliza hamu ataacha.
 
Sakata limetokea kwenye mitandao pendwa wa Instagram baada ya Bwana majizzo kupost mjengo mpya rasmi wa efm (piacha na maelezo ya majizzo pichani)

Bibie lulu nae hakubaki nyuma akapost kumpongeza mumewe huyo kwa hatua aliyopiga,huku akichombeza kwa maneno baada ya mitano tena anaonaje amuongezee miwili tena ya kufanya makubwa..(inaonesha majizzo alighairi kuoa miaka mitano akifanya hiyo project hadi iishe kwanza)

Ndipo Albert msando akakoment kumjuza bibie kwamba kisheria huo mjengo siku wakiachana hauko kwenye mgao wa Mali.maana alifanya hiyo project kabla hajaingia ndoani.so asiuhesabu.


View attachment 1707343View attachment 1707344View attachment 1707345View attachment 1707346View attachment 1707347
Hahaha haya ndio mujue kuwa kama mnadate, hamjafunga ndoa bado ila anakutumia ipasavyo lakini anasave kwa ajili ya kujipanga.....imekula kwako. Hahahaha
 
Back
Top Bottom