Jina lake ni Elizabeth Michael.Muangaliege majina ya kuwapa watoto wenu,sio shida,tabu nk
Lulu anabebwa na jina lake,licha ya yooote aliyopitia lakini jina lake linamsafisha "LULU" mnataka awe sawa na kina shida?
Kilaza wa kwanza wewe!Itarud Kwa Mama yupi we kilaza , unajua sarakasi za Mali lakini wewe , muulize mrema wa Arusha Billionaire wa mahotel watoto wanavyoburuzana mahakamani na wanapishana kurogana Kwa waganga au muulize Kylin wa mengi , ndo mana Msando amewafungua ili kumuweka kwenye safe zone huyo Lulu .... Hata kama akizaa Kwa Mali zilizopo mtoto atagawiwa kama watoto wengine ,Jambo sahihi ni kutozifikria hzo Mali apambane zipatikane za kwnye ndoa madam bado Majizo ana nguvu ..... Huwa mna vichwa vigumu Sana ndo mana mambo yakiharbika mnakimbilia kwenye media na mashirika ya haki za wanawake na still inakuwa too late....na bado hujui hzo Mali kaandikiwa Nani pengine tayar jamaa ashaziandikia mmiliki Kisheria ..we unakazana kukata mauno kitandani
Yule mtoto mdogo lakini ana akili. Muone vile vileLulu anamiliki kucha na nguo ake tu labda na qyumer
Kusoma hamtaki, na kuambiwa ukweli pia na waliosoma hamtaki, kalagabaho.Huyo Msando ni mwanasheria wa wa udaku na Instagram, sasa hayo mambo gani ya kuongea mwanaume mzima na mavuzi yake?
Kilichokufanya udandie comment yangu ni nini kama sio kiherehere .....utapigwa mtungo wewe Kwa tamaa zako...endelea na kisaluni chako uchwaraKilaza wa kwanza wewe!
Pili tafuta mali ndugu acha kuzipangia mali za mwanaume mwenzio ampe nani na asimpe nani!
Mshaurini apunguze Instagram. Ndio maana binafsi namkubali sana Jenipher Kyaka.Yule mtoto mdogo lakini ana akili. Muone vile vile
Akimaliza hamu ataacha.Mshaurini apunguze Instagram. Ndio maana binafsi namkubali sana Jenipher Kyaka.
Hiyo Lulu imetokea tu Nadhani kama bahati ( maana huyo Majizzo mhuni tu ), so, apunguze mbwembwe kama vile anasuta watu.
Kwenu wapi?Ndio umekula ugali kwetu
Ajitahidi maana walimwengu wanasubiri waseme tuliona. Issue siyo kuoana bali ni kuishi kwa amani.Akimaliza hamu ataacha.
Mwanaume anamuonea wivu mtoto wa kikeHuu ni Wivu wa kiwango cha juu sana kuonyeshwa na mtoto wa kiume
Hahaha haya ndio mujue kuwa kama mnadate, hamjafunga ndoa bado ila anakutumia ipasavyo lakini anasave kwa ajili ya kujipanga.....imekula kwako. HahahahaSakata limetokea kwenye mitandao pendwa wa Instagram baada ya Bwana majizzo kupost mjengo mpya rasmi wa efm (piacha na maelezo ya majizzo pichani)
Bibie lulu nae hakubaki nyuma akapost kumpongeza mumewe huyo kwa hatua aliyopiga,huku akichombeza kwa maneno baada ya mitano tena anaonaje amuongezee miwili tena ya kufanya makubwa..(inaonesha majizzo alighairi kuoa miaka mitano akifanya hiyo project hadi iishe kwanza)
Ndipo Albert msando akakoment kumjuza bibie kwamba kisheria huo mjengo siku wakiachana hauko kwenye mgao wa Mali.maana alifanya hiyo project kabla hajaingia ndoani.so asiuhesabu.
View attachment 1707343View attachment 1707344View attachment 1707345View attachment 1707346View attachment 1707347
Babe nasema kasema tutaachana?Babeeeh plz nioe kabla huna kitu chchte, sihitaji ukiwa unanipa talaka narud kwetu km nilivotoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kusoma hamtaki, na kuambiwa ukweli pia na waliosoma hamtaki, kalagabaho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Instagram lawyer... sijawahi mkubali huyu boya.
Hapo sasa mie moyo unakua na amani.Babe nasema kasema tutaachana?
"Till death do us apart"
Usiwazeeeeeee [emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app