Mwanasheria anahitajika: Nataka kuwashitaki CRDB Morogoro kwa kuifunga akaunti yangu ikiwa na hela

CRDB ni wapuuzi sana, nafanya nao biashara. Nenda kuomba mkopo jifanye huna collateral, yaani anaachana na wewe na kufanya mambo yake mengine na hakusikilizi tena. Sasa account yako iwe na hela watakupigia kila mara, wanakuuliza unaonaje huduma zao, blabla kibao.... Sasa wameshaanza kupiga simu na kuulizia business license, nitatoka nduki hawataamini
 
Benki za kitanzania CRDB na NMB hazijielewi kabisa. Zina upuuzi mwingi na wengi hawajui kazi zao, wamewekwa hapo na ndugu tu. Fanya uwashtaki. Equity ingekuwa sehemu nyingi ningekuwa sina haja ya kuwa na akaunti na hawa wapuuzi.
Hiyo Equity inalalamikiwa huko iliko zaluwa ni mda tu wataanza kuwapiga mshiko
 
So great!!
 
idtech mtafute huyu wakili msomi atakusaidia mwongozo mzuri na umeekeweka vyema
 
Haaahaaa..

Itakua unaandika code mahala au infosec mahala
Kitambo kidogo nilikuwa mdau wa sql map, metasploits, nmap, nexus..... Nilizipenda sana hizo tools, I was doing penetration testing for funny
 
Sijajua hilo, ila hiyo ni benki kubwa kuliko hata NMB na CRDB
Basi huko Kenya wanaunga mobile money kwenye account ya mtu na wanachota mpunga wote; kwahiyo ukubwa was bank so hoja. Wakenya wengi hawataki kuisikia hii bank
 
Basi huko Kenya wanaunga mobile money kwenye account ya mtu na wanachota mpunga wote; kwahiyo ukubwa was bank so hoja. Wakenya wengi hawataki kuisikia hii bank
Bado ni benki ya pili kwa ukubwa huko Kenya, so si kweli kuwa wanaikimbia. Na fraud za kibenki zinaweza tokea benki yoyote. Kwa costumer care hiyo bank huwezi kufananisha na yoyote hapa bongo.
 
H
iki unachosema hakiwezekani, siamini kama kuna kitu kama hicho kinaweza kutokea, yaani kwamba aliyefungua alikuwa hajui wewe inakuhusu nini? Aiseee, aiamini hilo suala..., kulikuwa na kiasi gani kwanza?
 
Karibu Stanbic Bank mteja kwetu ni Almasi
Hawa hawa Stanibic wa pale Kinondoni HQ? Mteja kwenu ni mfalme lakini mteja huyo huyo akipatwa na tatizo kidogo tena linatokana na sababu zilizo nnje ya uwezo wake mnamruka kama hamjui? Experience ya rafiki yangu ilinifundisha kitu japokuwa alikuwa mteja wenu mkubwa sana na mwisho wa siku alihamia KCB alikopatiwa msaada.Leo hii amekaa sawa kutwa mnamfuata kumuomba arudi kwenu.
 

Nikamtolea Card Ya Bank Nyingine Nikamuonyesha Nikamwambia Umeiona Hii


Yaani Kuna Wakati Hizi Banks Ni Upuuzi Bora Cash Kuweka Kwenye Jaba Kama Kakobe

Bila shaka alikutana na card yenye status ya Platnum akatulia.Hawa Bankers wana upuuzi mwingi sana,sijui wanavyohesabu zile pesa za wateja huwa wanajihisi ni zao?
 
@CRDB msikilizeni mteja wenu,vinginevyo mtaburuzwa Mahakamani
 

Why equity?naomba nifafanulie mkuu
 
Equt inasifiwa sana sana mpaka nimetamani kufungua Account huko hivi Bank nzuriee
 
Habari Idtech
Mbona CRDB Bank wapo vizuri sana na wanajibu kwa wakati ,sijajua issue yako kwa undani,ila wacheki kwa kutumia barua pepe "info@crdbbank.co.tz" watakujibu haraka sana na kukupa maelezo yaliyojitosheleza.wachek usihangaike.
 
Habari Idtech
Mbona CRDB Bank wapo vizuri sana na wanajibu kwa wakati ,sijajua issue yako kwa undani,ila wacheki kwa kutumia barua pepe "info@crdbbank.co.tz" watakujibu haraka sana na kukupa maelezo yaliyojitosheleza.wachek usihangaike.
Thanks wameisolve inshu yangu. Sio CRDB ya Morogoro mkuu, I don't know sjui kwavile skuwepo physically. Hata tawi la CRDB nililokuwa nawatumia wakawa wanawashangaa kuanzia manager wao hadi wafanyakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…