Mwanasheria anahitajika: Nataka kuwashitaki CRDB Morogoro kwa kuifunga akaunti yangu ikiwa na hela

Crdb ni wababaishaji na wevi siku hizi Kuna vimakato sielewagi vinatoka wapi ,sijajua ni Benki ipi Bora hapa tz
 
Nenda chukua banki statement ya mwaka mzima utakuja nishukuru
 
Nakutafuta inbox mkuu
 
Karibu Stanbic Bank mteja kwetu ni Almasi
Nyie ndio wa hovyo maafisa wenu hasa wa mikopo hovyo sana kuna mchaga flani blanch ya kkoo na mngine fathiri kama sikosei yuko main blanch hao ndio walifanya nifunge acc poor customer service in short wanajiona sana...
 
...Pole Sana! Hivi CRDB Bado wanavule Ujinga kwamba KADI ikimezwa na ATM ili kuipata ni lazima Uende Tawi lako! Karne hii ?
 
Equity naona watu wawili watatu wanaips recommendation nzuri
 
Ukishaona bank wanakufuata kwako, Ujue tayari wewe ni mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…