Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
DAVID Evance Komba ambaye ni Mwanasheria kitaaluma na mzaliwa wa Kijiji cha Lwang’a kata ya Kihorogota tarafa ya Isimani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, amevunja ukimya na kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Isimani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
David Komba amesema hayo leo Tarehe 26 Juni 2025 wakati alipokutana na Waandishi wa habari Mjini Iringa.