Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

Hii nchi hii ....sometimes unaweza kuona watu very critical kwa serikali kumbe ni "system" . Ndio maana mtu akishakuwa Rais wa nchi hata akistaafu hawi na "kiherehere" maana anawajua wote anajua mwisho report zinafika kwa "wenyewe"
 
JPM anasoma sana if, naamini ni bandiko hili ndilo limemuibua jamaa huyu!.

Jana kuna mahali kwenye hotuba ya JPM, amejibu hoja za jf.

P.
Barabara kabisa,
Hili liwe funzo kwako maana siku hizi umekua kama unaanza kupoteza mwelekeo....TSN, TBC, Maelezo etc, etc come to mind🙂
 
Mkuu bado unajiita mzalendo! nadhani leo utakua unafurahia uteuzi wa Mtukufu.. ushauri wangu ni hivi vijana wa Uvccm acheni kuwa nyumbu jaribuni kufikiria kwa kichwa na sio zile sehem za kukalia.
Teh teh sawa mzalendo
 
vijana wa Uvccm acheni kuwa nyumbu jaribuni kufikiria kwa kichwa na sio zile sehem za kukalia.
Binadamu ruksa kufikiri kutumia kiungo chochote cha kwake ni haki yake ya kidemokrasia huwezi mpangia atumie kiungo kipi mkuu.
 
Hiyo MIGA na ICSID ni kama alivyosema Lissu akafichua na kukamatwa kwa bombadia yetu lakini kilichomtokea sasa!
 
Mbona TANU ilishakufa? au mnampango wakufufua Tanganyika?
 
Amenifungua ubongo, just why tangu mabishano haya yaanze, sija comment chochote. Mwanzo niliona Kama Raisi amefanya vizuri, lakini kadri Siku zinavyokwenda naaza kukata tamaa. Tuendako nathani kuna kiza kinene.
Huwezi kupingana na Sheria hata mara moja, japo utaweza kuibishia.
 

Wenye kuelewa wameelewa, na wasiokuelewa hawatakuelewa. Kizuri zaid, huna jaha ya kuwalazimisha wakuelewe.
 
Binadamu ruksa kufikiri kutumia kiungo chochote cha kwake ni haki yake ya kidemokrasia huwezi mpangia atumie kiungo kipi mkuu.
Hao wote ni brainwashed, huna haja ya kubishana nao. Wanatumia tumbo kubisha na kutengeneza hoja.
 
yaani wewe ni kiazi kweli kweli. look hivi ndivyo ulivyoandika "Sio issue ya kesho wala ni ni issue ya nini kipo sasa.Kesho ni Mungu pekee ndiye ajuaye.Binadamu tuna deal na kilichopo sasa only
" seriously wewe humu jf unatafuta nini kama level yako ni kwwenye simple minds namna hii? toka humu unajaza space bure. hata kama ni forum huru kuingia sio lazima uingie. ukiingia unao uwezo wa kukaa kimya. Idiot.[/QUOTE]
Huyo jamaa na wenzake wapo JF kwa kazi maalumu ya kuwachafua watu wanaowaona wako upande wa pili.
Ni bahati mbaya kwamba hawawafahamu watu kwa undani. Hata Magu hajawafahamu watu wote kwa undani wao.
Tanzania imedoda kwa sababu tunajali mielekeo ya siasa kuliko taaluma. Ccm wanadhani wanawajua wananchi wote, kumbe hapana. Kuna dhani ya TISS kufanya mambo wakidhani wao wanajua kila kitu na kila mtu---totally wrong!!!.
YEHODAYA, Jingalao, Barbarosa, Wakudadavua, na wenzao wanadhani wana uelewa mkubwa sana wa mambo, kumbe ni vile tu hawajui nje ya wao kuna nini.
Anyway, Tanzania tumeathiriwa sana na siasa za upashikuna badala ya siasa za hoja. Tumejenga mifumo dhaifu mno ya kusimamia mambo ya msingi na kwa hali ilivyo tunaruka kichura kuzunguka ramani ya Tanzania.
 
Kweli wewe YEHODAYA hapo Lumumba umekaa kupinga mambo yote ya weledi ambayo Tundu Lisu aliitahadharisha serikali. Ona sasa huyu unayempinga kwa kuandika yanayo fanana na misimamo ya Tundu Lisu, Jana tarehe 01.02.18 kateuliwa kuwa mwana sheria mkuu wa serikali. Aibu kwako siku nyingine uwe makini.
 
Kwa maoni hayo na ufafanuzi nadhani mh. rais aliona kwamba dr. kilangi ni dhahabu iliyopo kwenye tope,ndio maana ameamua kumteauwa awe AG....
natumai atasaidia taifa .
 
 
Kwa maoni hayo na ufafanuzi nadhani mh. rais aliona kwamba dr. kilangi ni dhahabu iliyopo kwenye tope,ndio maana ameamua kumteauwa awe AG....
natumai atasaidia taifa .
Max Weber aliandika namna ya kuhakikisha status quo inaendelea kupeta. Akasema mambo matatu tu:-

1. Inclusion
2. Deligimation
3. Exclusion.

Sasa Dr Kilangi alikuwa na akili akachambua vizuri. Ili asiendelee kuchambua, kaingizwa kundini. Amini usiamini, mbinu hii huwa ni komesha. Nape, Polepole, Zitto, na waliokuwa wapiga domo kweli kweli, ilitumika mbinu hiyo na wakawa kimya.

Sasa dr Kilangi naye atakuwa kama Polepole, mahali pa kukemea atasifia. Time will tell.

Na mtihani wa kwanza ni kwenye kiapo, ataapa KUTUNZA SIRI ZA BARAZA LA MAWAZIRI. Hatosema tena.

Mi nampa pole, simpi hongera
 
Hahaha JF bana, sitashangaa kwenye siredi nyingine ukimsifu mteuliwa pia hahaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…