Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

Mwanasheria Dkt. Kilangi atoa ufafanuzi kuhusu mchanga wa madini uliozuiliwa na Rais

c9c0c75ec66c771a2bc36e635e2f470e.jpg
afadhali umelikumbusha nzi la kijani tena la chooni,lilishasahaugi kwamba lilitukanaga
 
Agent of imperialist at work. Ahadi mojawapo Ya mwana Tanu ilikuwa ikisema nitajiellimisha kwa kadri Ya uwezo wangu kwa faida Ya watanzania walio wengi .mleta maada kajielimisha sana kwa faida ya imperialists. Very sad.Yeye na tundu lisu wamejielimisha sana kwa faida ya imperialists
Kilangi ameeleza ukweli, Nadhani ndiye aliyechaguliwa kuwa mwanasheria mkuu (Attorney General) na rais Magufuli. Siyo lazima upinge kila kitu.
 
Back
Top Bottom