MWANASHERIA HUYU VIPI?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Wakati Kenya wanasheria vijana wanapigania haki za vijana wenzao wanaotekwa, wanasheria wa Tanzania wenye mtizamo wa wanaharakati wanakesha ktk mitandao kuandika mipasho. Mfano huyu team Lissu



 
Huyo ni mpuuzi mmoja toka makunduchi mfia dini uchwara naona kajiunga na Team Mbowe.
Team mbowe umeandika, nilipoandika team Lissu elimu yangu ina mashaka. Team lissu kwa matusi mashallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…