Cool Runnings
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 277
- 199
Kumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona the similar topic ikimuhusu Chief justice wa Marekani kuwa as a lawayer alikuwa akitetea asichoamini. Lakini je kazi ya mwanasheria ni nini?
Just watch it for yourself kwa kubofya hapa chini:
Bad Guys Get Lawyers Too
Bad guys get lawyers, too
unajua kuwa mtu hatakiwi kuhesabika kuwa ni mhalifu hadi pale itakapothibitishwa na mahakama kuwa yeye ni mhalifu?Kumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona the similar topic ikimuhusu Chief justice wa Marekani kuwa as a lawayer alikuwa akitetea asichoamini. Lakini je kazi ya mwanasheria ni nini?
Just watch it for yourself kwa kubofya hapa chini:
Bad Guys Get Lawyers Too
Bad guys get lawyers, too
unajua kuwa mtu hatakiwi kuhesabika kuwa ni mhalifu hadi pale itakapothibitishwa na mahakama kuwa yeye ni mhalifu?
pia, ni mazoea tu kwa hapa tz, kwa nchi za wenzetu, ikitokea mtu amefanya kosa la jinai na hana uwezo wa kumweka mwanasheria amtetee, serikali huwa inagarimia mwanasheria, yaani serikali inamtafutia mwanasheria na kumlipa ili yule mhalifu atetewe na mwanasheria kama vile waendesha mashitaka walio wanasheria wanavyoshitaki. ili haki iwe imetendeka haitakiwi kutamkwa tu kuwa imetendeka, inatakiwa ionekane kuwa imetendeka.
hakuna haki yeyote kwa mwanasheria mwenye degree ambaye ni mwendesha mashitaka, anapopambana na mtuhumiwa ambaye pengine ni la saba hajui chochote kuhusu sheria. unafikiri kuna usawa hapo? sasa ili pawepo na usawa, kunatakiwa kuwa na uwakilishi pande zote mbili halafu ndio zianze kuchapwa, mwanasheria huku na mwanasheria kule wazichapee wee atakayeshinda hapo kuna ushindi wa uhalali kidogo. ukiweka mwanasheria huku na mfugaji asiyejua hata kiswahili huku ni sawa na kumpiganisha tembo na sisimizi. na hapo inakuwa haina umuhimu wa kupeleka mtu mahakamani wangempeleka tu gerezani kwasababu lazima tu atashindwa, hawezi kushindana na mwenye degree ya sheria. vilevile, uwakilishi ni haki yako wewe mhalifu. haki hii haiondolewi hata unapokuwa na tuhuma, zile ni tuhuma tu na pengine ulichokifanya hata kama umekifanya kina justification ya sheria you never know.
Ni mtu asiye elewa maana ya Wakili ndio anaweza shangaa Marando kutetea watuhumiwa.
Hata watuhumiwa wana haki ya kuwa na mawakili na ni makosa kuwaita waarifu wakati mahakama haijathibitisha.
humuoni pristorius kauaaa na anatetewa ....lawyers wako kwa ajili ya kushinda kesi na kupata hela tu...elewa hicho
Watu hao hao kwenye majukwaa ya kisiasa anaojidai kuwapinga ndo hao hao anawatetea mahakamani?
Yeah, tell that to the birds!
Na majukwaani anawahukumu kabisa wakati kumbe anajua watuhumiwa hawatakiwi kuhukumiwa
Yeah, anatetewa ndiyo lakini hatetewi na ndugu wa merehemu wala ex-boyfriend wa marehemu wala marafiki wa merehemu!
Principles of natural justice I.rule against base 2.reason for the decision 3.right to be heard we should comply with those principlesKumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona the similar topic ikimuhusu Chief justice wa Marekani kuwa as a lawayer alikuwa akitetea asichoamini. Lakini je kazi ya mwanasheria ni nini?