Mwanasheria Marando kutetea wahalifu

Mwanasheria Marando kutetea wahalifu

Cool Runnings

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
277
Reaction score
199
Kumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona the similar topic ikimuhusu Chief justice wa Marekani kuwa as a lawayer alikuwa akitetea asichoamini. Lakini je kazi ya mwanasheria ni nini?

Just watch it for yourself kwa kubofya hapa chini:

Bad Guys Get Lawyers Too

Bad guys get lawyers, too
 
Hata waovu wanastahili kupewa wanasheria ,ni sawa na kusema mvua inyeshe kwa wema tu na wabaya wafe na njaa.
 
Kumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona the similar topic ikimuhusu Chief justice wa Marekani kuwa as a lawayer alikuwa akitetea asichoamini. Lakini je kazi ya mwanasheria ni nini?

Just watch it for yourself kwa kubofya hapa chini:

Bad Guys Get Lawyers Too

Bad guys get lawyers, too

every body is presumed to be innocent until the contrary is proved beyond any reasonable dought
 
humuoni pristorius kauaaa na anatetewa ....lawyers wako kwa ajili ya kushinda kesi na kupata hela tu...elewa hicho
 
Kumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona the similar topic ikimuhusu Chief justice wa Marekani kuwa as a lawayer alikuwa akitetea asichoamini. Lakini je kazi ya mwanasheria ni nini?

Just watch it for yourself kwa kubofya hapa chini:

Bad Guys Get Lawyers Too

Bad guys get lawyers, too
unajua kuwa mtu hatakiwi kuhesabika kuwa ni mhalifu hadi pale itakapothibitishwa na mahakama kuwa yeye ni mhalifu?

pia, ni mazoea tu kwa hapa tz, kwa nchi za wenzetu, ikitokea mtu amefanya kosa la jinai na hana uwezo wa kumweka mwanasheria amtetee, serikali huwa inagarimia mwanasheria, yaani serikali inamtafutia mwanasheria na kumlipa ili yule mhalifu atetewe na mwanasheria kama vile waendesha mashitaka walio wanasheria wanavyoshitaki. ili haki iwe imetendeka haitakiwi kutamkwa tu kuwa imetendeka, inatakiwa ionekane kuwa imetendeka.

hakuna haki yeyote kwa mwanasheria mwenye degree ambaye ni mwendesha mashitaka, anapopambana na mtuhumiwa ambaye pengine ni la saba hajui chochote kuhusu sheria. unafikiri kuna usawa hapo? sasa ili pawepo na usawa, kunatakiwa kuwa na uwakilishi pande zote mbili halafu ndio zianze kuchapwa, mwanasheria huku na mwanasheria kule wazichapee wee atakayeshinda hapo kuna ushindi wa uhalali kidogo. ukiweka mwanasheria huku na mfugaji asiyejua hata kiswahili huku ni sawa na kumpiganisha tembo na sisimizi. na hapo inakuwa haina umuhimu wa kupeleka mtu mahakamani wangempeleka tu gerezani kwasababu lazima tu atashindwa, hawezi kushindana na mwenye degree ya sheria. vilevile, uwakilishi ni haki yako wewe mhalifu. haki hii haiondolewi hata unapokuwa na tuhuma, zile ni tuhuma tu na pengine ulichokifanya hata kama umekifanya kina justification ya sheria you never know.
 
Ni kweli kabisa Mkuu. Tatizo jingine nadhani ni neno "kutetea", kwa tafsiri ya kawaida mtu "humtetea" mtu ambaye mtetezi anaamini kuwa anaonewa lakini kwenye sheria haiwi hivyo. Wakili baadhi ya kazi zake ni kuhakikisha kuwa mteja wake anapata haki zake zote za kisheria kama mtuhumiwa, kumsaidia mtuhumiwa kuandaa utetezi, kuonyesha mapungufu (raising reasonable doubt) ya upande wa waendesha mashitaka n.k

Hiyo ndio tafsiri kwa ufupi ya "kutetea".
 
Ni mtu asiye elewa maana ya Wakili ndio anaweza shangaa Marando kutetea watuhumiwa.

Hata watuhumiwa wana haki ya kuwa na mawakili na ni makosa kuwaita waarifu wakati mahakama haijathibitisha.
 
Watu hao hao kwenye majukwaa ya kisiasa anaojidai kuwapinga ndo hao hao anawatetea mahakamani?

Yeah, tell that to the birds!
 
humuoni pristorius kauaaa na anatetewa ....lawyers wako kwa ajili ya kushinda kesi na kupata hela tu...elewa hicho

Yeah, anatetewa ndiyo lakini hatetewi na ndugu wa merehemu wala ex-boyfriend wa marehemu wala marafiki wa merehemu!
 
Watu hao hao kwenye majukwaa ya kisiasa anaojidai kuwapinga ndo hao hao anawatetea mahakamani?

Yeah, tell that to the birds!

Na majukwaani anawahukumu kabisa wakati kumbe anajua watuhumiwa hawatakiwi kuhukumiwa
 
Oh yeah, halafu wakimwendea na pesa hizo hizo ambazo zinaweza kuwa ndo za kifisadi ili akawatetee mahakamani, hajivungi! Anazichukua na mahakamani anaenda kuwatetea.

Sasa hao anaowapinga na kuwakashifu majukwaani eti ndo hao hao wateja wake.

Go figure!
 
Ni ujanja wa kisomi kwa wasiosoma!!!!

Kama kuna watu wa kuwa nao makini ni hawa haswa wenye majina!!!!!!!
Halafu ni cycle ya walio na hiyo taaluma, jioni viti virefu mchana huyu hakimu au judge na yule wakili!!!!

Wote viti virefu wanaweza kuwa wanatumia malipo ya mteja mwenye pesa!!!! Watataka kubisha hapa as if hakimu au judge wakitoka na wakili wakili huwa halipi!!!!!!

Puzzle! !!!!
 
Kumeshawahi kuwa na propaganda lukuki hapa jamvini kuhusu Marando kuwatetea watuhumiwa wa EPA etc. kuwa ni indication ya namna gani hapaswi kuaminika. Muda si mrefu nilikuwa naangalia TV nikaona the similar topic ikimuhusu Chief justice wa Marekani kuwa as a lawayer alikuwa akitetea asichoamini. Lakini je kazi ya mwanasheria ni nini?

Just watch it for yourself kwa kubofya hapa chini:

Bad Guys Get Lawyers Too

Bad guys get lawyers, too
Principles of natural justice I.rule against base 2.reason for the decision 3.right to be heard we should comply with those principles
 
unajua kuwa mtu hatakiwi kuhesabika kuwa ni mhalifu hadi pale itakapothibitishwa na mahakama kuwa yeye ni mhalifu?

pia, ni mazoea tu kwa hapa tz, kwa nchi za wenzetu, ikitokea mtu amefanya kosa la jinai na hana uwezo wa kumweka mwanasheria amtetee, serikali huwa inagarimia mwanasheria, yaani serikali inamtafutia mwanasheria na kumlipa ili yule mhalifu atetewe na mwanasheria kama vile waendesha mashitaka walio wanasheria wanavyoshitaki. ili haki iwe imetendeka haitakiwi kutamkwa tu kuwa imetendeka, inatakiwa ionekane kuwa imetendeka.

hakuna haki yeyote kwa mwanasheria mwenye degree ambaye ni mwendesha mashitaka, anapopambana na mtuhumiwa ambaye pengine ni la saba hajui chochote kuhusu sheria. unafikiri kuna usawa hapo? sasa ili pawepo na usawa, kunatakiwa kuwa na uwakilishi pande zote mbili halafu ndio zianze kuchapwa, mwanasheria huku na mwanasheria kule wazichapee wee atakayeshinda hapo kuna ushindi wa uhalali kidogo. ukiweka mwanasheria huku na mfugaji asiyejua hata kiswahili huku ni sawa na kumpiganisha tembo na sisimizi. na hapo inakuwa haina umuhimu wa kupeleka mtu mahakamani wangempeleka tu gerezani kwasababu lazima tu atashindwa, hawezi kushindana na mwenye degree ya sheria. vilevile, uwakilishi ni haki yako wewe mhalifu. haki hii haiondolewi hata unapokuwa na tuhuma, zile ni tuhuma tu na pengine ulichokifanya hata kama umekifanya kina justification ya sheria you never know.

Are you a lawyer?
 
Na majukwaani anawahukumu kabisa wakati kumbe anajua watuhumiwa hawatakiwi kuhukumiwa

Hivi mkuu, umeangalia hiyo clip? Hebu tizama kuanzia dk 3:50, John Adams aliyekuja kuwa raisi wa pili wa Marekani mwaka 1770 alifanya kazi yake ya u-lawyer kwa kuwatetea the very unpopular red-coats waliakuwa wanatuhumiwa kwenye ile Boston Massacre. Kipindi hicho hao British soldiers walikuwa hawapendwi kabisa Marekani kwani walikuwa makatili, na waliwachukulia wamarekani kama 2nd class. Hivi unadhani J. Adams alivyokuwa majukwaani kwenye kampeni alikuwa anawasifia red coats?
 
Back
Top Bottom