NAONA WAMEAMUA KUBEEP “UHAINI”……KESI ZOTE MBILI ZA UHAINI ZILIZOWAHI KUTOKEA ILIKUWA NI KWELI WATU WAMEPANGA NA MAAFISA WAKUBWA TU WENYE UWEZO WA KUFANYA UHAINI PAMOJA NA WANASIASA WA CHAMA TAWALA …Dah serikali itetereke kisa mkenya
Duh,Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu
Ukute CHADEMA wanatengeneza muvi hawatuambii. Mbona wameandaa wachukua matukio kuliko wananchi wa kawaida. Na mastelingi wa muvi ya kufokafoka🤣🤣🤣Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.
Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa Mahakama Kuu, na mtetezi wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia. Alizaliwa tarehe 22 Septemba 1957 katika Kaunti ya Kirinyaga.
Mnamo 2013, Karua aligombea urais kupitia chama cha Narc-Kenya, na kuwa mwanamke wa tatu kuwania nafasi hiyo nchini Kenya. Ingawa hakushinda, alibaki kuwa sauti muhimu katika siasa za kitaifa. Mnamo 2022, aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Raila Odinga kupitia muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party.
Pia soma Breaking News: - DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani
kuna maCCM yanamdangaya ashupaze shingoMama samiath na zero yake form four Anataka ligi na lissu kweli
Hakikakuna maCCM yanamdangaya ashupaze shngo
hakuna mtawala aliyeshindana na nguvu ya UMMA akapona
#NoReformsNoElection
poleniUkute CHADEMA wanatengeneza muvi hawatuambii. Mbona wameandaa wachukua matukio kuliko wananchi wa kawaida. Na mastelingi wa muvi ya kufokafoka🤣🤣🤣
Hana leseni ya kufanya uwakili Tanzania, afukuzwe sehemu ya mawakiliWakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.
Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa Mahakama Kuu, na mtetezi wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia. Alizaliwa tarehe 22 Septemba 1957 katika Kaunti ya Kirinyaga.
Mnamo 2013, Karua aligombea urais kupitia chama cha Narc-Kenya, na kuwa mwanamke wa tatu kuwania nafasi hiyo nchini Kenya. Ingawa hakushinda, alibaki kuwa sauti muhimu katika siasa za kitaifa. Mnamo 2022, aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Raila Odinga kupitia muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party.
Pia soma Breaking News: - DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani
Wabongo ni wapuuzi sana...Wakili Mpale Mpoki anayeongoza jopo la Mawakili wa Kumtetea Tundu Lissu ameimbia mahakama kuwa leo kuna observe kutoka Kenya Wakili nguli Martha Karua. Lakini pia yupo Wakili Ferdinand Makore na Michael Lugina kwa upande wa utetezi.
Martha Karua ni mwanasiasa mashuhuri wa Kenya, wakili wa Mahakama Kuu, na mtetezi wa haki za binadamu na usawa wa kijinsia. Alizaliwa tarehe 22 Septemba 1957 katika Kaunti ya Kirinyaga.
Mnamo 2013, Karua aligombea urais kupitia chama cha Narc-Kenya, na kuwa mwanamke wa tatu kuwania nafasi hiyo nchini Kenya. Ingawa hakushinda, alibaki kuwa sauti muhimu katika siasa za kitaifa. Mnamo 2022, aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa urais wa Raila Odinga kupitia muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Coalition Party.
Pia soma Breaking News: - DSM - Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani
Nina hakika Amsterdam naye yupo kama alivyosema Heche.Hana leseni ya kufanya uwakili Tanzania, afukuzwe sehemu ya mawakili
kabisa, akamatwe baada ya shauri kumalizika nae apande kizimbaniHana leseni ya kufanya uwakili Tanzania, afukuzwe sehemu ya mawakili