PreGE2025 Mwanasheria Martha Karua atua Kisutu kutoka Kenya kumpambania Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
wanasheria wa serikali kama wanasheria wa yanga hawashindagi kesi...VILAZA
 
Nashauri uhamiaji, haraka sana wamtangze Martha Karua Persona non grata. Hili lifanyike ndani ya saa 24 kuanzia sasa
 
Nashauri uhamiaji, haraka sana wamtangze Martha Karua Persona non grata. Hili lifanyike ndani ya saa 24 kuanzia sasa
Tatizo ya wasomi wa Tanzinia ni very shallow na limbukeni wa sheria wewe unafikiri vigezo vya mru kua "non granta" ni kukurupuka tu mpumbavu yako wasomi uchwara wewe.
 
Nashauri uhamiaji, haraka sana wamtangze Martha Karua Persona non grata. Hili lifanyike ndani ya saa 24 kuanzia sasa
Na unakuta ndugu zako wana safa sana kule kijijini wewe uko humu kazi ni kulamba watawala Ma.ta ko, kila dakika.
 
..serikali ya Tanzania inamuogopa Martha Karua.
 
Kwa akili nyepesi mtu anaweza kufikiri wewe ni Wakili wa Jamhuri! Maana wameshaanza kupanic mapema wakati kesi bado ni mbich!
Anyway! Yule ana Passport! After then hakuja kuingilia mambo ya siasa ya nchi hii.
Mawakili hawana mipaka! Ndiyo maana amekuja kuungana na jopo la mawakili kumtetea Lissu jambo ambalo bila shaka linaruhusiwa na sheria kwa mjibu wa mikataba ya kimataifa! Na Tanzania imesaini mikataba yake!
 
Ndiyo nani huyo Martha Karua? Kumbe Uhamiaji nao huwa wanatangaza watu kuwa Persona non grata?

Nashauri uhamiaji, haraka sana wamtangze Martha Karua Persona non grata. Hili lifanyike ndani ya saa 24 kuanzia sasa
 
Hana leseni ya ku-practice Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…