Mwanasheria Mbobezi kwenye kesi za Madeni ya Pesa/Wizi Wa Pesa

Mwanasheria Mbobezi kwenye kesi za Madeni ya Pesa/Wizi Wa Pesa

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,488
Reaction score
2,908
Nahitaji mwanasheria/wakili Mbobezi Ambae atanisaidia kuendesha mashtaka yangu mahakamani.

Kesi ni Ya WIZI ila wizi ambao ndugu wanataka ugeuza uwe madai tumalize nnje ya mahakama ila hawafiki dau ninalotaka la pesa zilizoibwa.

Nadhani acha iende mahakamani ili tu iwe itakavyokua.

Muda wangu ni mchache kusimama mahakamani nahitaji Wakili/Mwanasheria kwa msaada wa hili.

Karibu PM
 
Back
Top Bottom